Sevilla Waunga Tela Kumuwinda Papu Gomez

Papu Gomez bado ni mtengwa pale Atalanta, lakini Sevilla wanampa nafasi mpya nchini Uhispania.

Mchezaji huyo wa kimataifa wa Argentina amekuwa akikosa nafasi kufuatia mzozo na mkufunzi wake Gian Piero Gasperini na hadi sasa hakuna vilabu vimejitokeza wakati bei yake ikiwa ni euro milioni 10.

Kuna wasiwasi pia kwamba Atalanta hawataki kumuuza nyota wao kwa mpinzani ndani ya Serie A, ambayo ingeondoa Inter, Roma na Milan kwenye mchakato wa kumnasa staa huyo.

Sevilla Waunga Tela Kumuwinda Papu Gomez
Papu Gomez

Kwa mujibu wa Sky Sport Italia na Calciomercato.com, Sevilla wamekuwa wakifanyia kazi uchaguzi wa Gomez nyuma ya pazia.

Mchezaji huyo alisema anataka kubaki Italia ambako familia yake ipo, lakini anaweza kujaribiwa na dili la Uhispania.

Wakati huo huo, wachezaji wenzake wa zamani Maxi Lopez (Sambenedettese) na Luca Cigarini (Crotone) walimsihi hadharani Papu kujiunga nao katika vilabu vidogo ili aendelee kufurahia soka lake.


USHINDI UPI NI MKUBWA KWAKO, £2,000,000? 🤑

Pokea mualiko wa Meridianbet na Pragmatic Play kutengeneza mkwanja kwenye kasino ya mtandaoni sasa. Jiunge sasa kupata ishindi huu.

INGIA MCHEZONI

17 Komentara

    Papu comes anakubalika sana

    Jibu

    Namuelewa Sana Papu

    Jibu

    Waweke dau mezani

    Jibu

    Gomez yupo vizuri Sevilla waweke mpunga mezaji

    Jibu

    Nidhamu ni muhimu kwa mchezaji, unapokosa utii kocha atakuweka bench mpaka kiwango kishuke

    Jibu

    Nice update

    Jibu

    safi

    Jibu

    Popu Yuko makini

    Jibu

    Asanteni kwa makala

    Jibu

    Ngoja tuone

    Jibu

    Papu Yuko vizuri Safi sana

    Jibu

    Ngoja tuone

    Jibu

    Gomes wakati wake huu

    Jibu

    Ngoja tuone

    Jibu

    Papu jembe sevilla wasilembe

    Jibu

    Papu anawindwa na wengi

    Jibu

    Safi

    Jibu

Acha ujumbe