Sheffield United wamevunja rekodi mpya ya EPL baada ya kuwa klabu ya kwanza kucheza mechi 17 bila kupata ushindi.
Sheffield walianza kwa kuwafikia rekodi ya Queens Park Rangers ya mechi 16 bila ushindi kwenye mechi dhidi ya Barley ambayo walichapwa bao 1-0.
Sasa timu hii imepata rekodi mbaya zaidi baada ya kukamilisha mechi 17 bila kuchukua pointi 3 kwenye Ligi Kuu ya Uingereza tangia Bolton Wanderers kuwa na rekodi ya mechi 22 bila ushindi msimu wa 1902-1903

Rekodi hii sio rekodi ya kujivunia kwa Sheffield ambao mpaka sasa wamefanikiwa kupata pointi 2 tu tangia msimu unaanza wakiwa nafasi ya mwisho ya msimamo wa ligi kwa sasa.
Vijana hawa wa Chris Wildermpaka sasa pia hawajapata hati safi katika mechi hata moja, wakiwa wanaikaribia idadi ya mechi 20 bila hati safi ya msimu uliopita.
__________________________________________________________________
VUNA SHEA YAKO YA 230,000,000TSH NA UFURAHIE MSIMU HUU WA SIKUKUU!!!
Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, jiwekee nafasi ya kupata shea yako ya 230,000,000Tsh kupitia mchezo wa Secret Santa. Hakika hutojutia kufurahia msimu huu wa sikukuu ukiwa katika nyumba ya mabingwa ya Meridiabet. Unasubiri nini?




Lydia Emmanuel Magoti
Duuu sio poa
Adelta
Pole yao wameanza vibaya
Sania
Dah hiki ni kipindi kigumu kwao
Angelina
Habar mbaaya kwa mashabiki wa sheffield
Sarah
Duu wapo katika wakati ngumu mno
Shakila mrope
Pole yao
Sabrina
Duuh hatari sana
Caroline
Poleni sana.mmeanza vibaya sana
felister
pole yao
Fatuma kasomo
Nomaa
Dorophina
Dhuu hili ni tatizo kubwa tu
Mwanahamisi
Pole yao
Saupha mohamed
Dhuui
Devotha
Pole yao
Hopemwaikuka
Dah
Magdalena
Wanayumba sana
warda
Jamani hadi huruma
Issa
Shefiled moto