Shoretire Aweka Rekodi Manchester United.


 

Kinda wa Manchester United, Shola Shoretire ameweka rekodi jana baada ya kupata nafasi katika mchezo wa Ligi ya Europa dhidi ya Real Sociedad.

Baada ya kupata nafasi kwenye mchezo wa jana ligi ya Europa dhidi ya Real Sociedad, mshambuliaji, Shola amekua mchezaji mdogo zaidi katika historia ya Manchester United kucheza kwenye mechi ya Europa .

1• Shola Shoretire miaka 17 na siku 23
2• Norman Whiteside miaka 17 na siku 131
3• Mason Greenwood miaka 17 na siku 156
4• Gary Neville miaka 17 na siku 211


TENGENEZA FAIDA KATIKA SLOTI PENDWA HAPA MERIDIANBET

BusttheBank ni sloti inayokupa Mkwanja wa kutosha. Ndio, hii ni sloti inayokupa faida ya hadi mara kibao ya dau lako. Ni Meridianbettz pekee utakapoweza kupata burudani hii.

CHEZA HAPA

11 Komentara

    Inapendeza 👏🤝

    Jibu

    Hongera sana

    Jibu

    Hongera yake

    Jibu

    Tunasubiri kuona Rooney mwingine ndani ya Man U

    Jibu

    Pongez kwake

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Pongez kwao

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Wametishaa

    Jibu

    DOGO ANAJUA

    Jibu

    Sholetire yuko vizuri.

    Jibu

Acha ujumbe