Ronaldo na Messi wanazidi kukumbukwa mpaka leo LaLiga ambapo kila mwaka tarehe 19 Agosti huwa ni siku ya picha duniani ambapo, dunia husherehekea siku hii kwa kupiga picha, kusambaza picha yeyote nzuri kwenye mitandao ya kijamii.

leo hii meridianbet tumekuletea picha 10 za kuvutia kwenye ligi ya Laliga nchini Hispania nazo ni kama ifuatavyo:

  1. Ronaldo & Messi
ronaldo,messi, Siku ya Picha Duniani: Ronaldo&Messi/Picha 10 za Kuvutia za Muongo Uliopita Ligi ya Laliga Santander., Meridianbet
Lionel Messi na Cristiano Ronaldo wakisalimiana kabla ya mechi ya ElClasico, Kati yao, walifunga mabao 786 ya LaLiga Santander. (2016/17)

2. Estadio Cívitas Metropolitano

ronaldo,messi, Siku ya Picha Duniani: Ronaldo&Messi/Picha 10 za Kuvutia za Muongo Uliopita Ligi ya Laliga Santander., Meridianbet
Fataki katika anga ya Jiji kuu wakati Atlético de Madrid ikizindua uwanja wao wa “Estadio Wanda Metropolitano”, ambayo sasa inaitwa Estadio Cívitas Metropolitano. Uwanja huo ulitajwa kuwa Uwanja Bora Duniani katika Mkutano wa Kilele wa Kandanda wa Dunia mwaka 2018. (2017/18)

3. Machweo ya CD Leganés’ Estadio Butarque.

ronaldo,messi, Siku ya Picha Duniani: Ronaldo&Messi/Picha 10 za Kuvutia za Muongo Uliopita Ligi ya Laliga Santander., Meridianbet
Mchezo wa mpira wa miguu ukichezwa kwenye hali ya machweo maarufu ya CD Leganés’ Estadio Butarque, kusini kidogo mwa Jiji la Madrid. (2019/20)

4. Aritz Aduriz

ronaldo,messi, Siku ya Picha Duniani: Ronaldo&Messi/Picha 10 za Kuvutia za Muongo Uliopita Ligi ya Laliga Santander., Meridianbet
Aritz Aduriz afunga bao la kwanza la msimu wa 2019/20 wa LaLiga Santander kwa mtindo wa baiskeli “Bicycle Kick”. Bao la kuvutia zaidi katika maisha yake ya LaLiga, lilikuwa pia la mwisho kabla ya kustaafu 2020. (2019/20)

5. Ronaldo akishangilia “siuuuu”

ronaldo,messi, Siku ya Picha Duniani: Ronaldo&Messi/Picha 10 za Kuvutia za Muongo Uliopita Ligi ya Laliga Santander., Meridianbet
Cristiano Ronaldo akishangilio moja ya bao kwa mtindo wake maarufu wa ‘Siuuu’ uwanja wa Bernabéu. (2017/18)

6. Uwanja wa SD Eibar’s Ipurú

ronaldo,messi, Siku ya Picha Duniani: Ronaldo&Messi/Picha 10 za Kuvutia za Muongo Uliopita Ligi ya Laliga Santander., Meridianbet
Mwonekano wa uwanja wa SD Eibar’s Ipurúa, uwanja mdogo zaidi unaotumika Ligi ya LaLiga Santander katika enzi ya kisasa. Klabu hiyo, inayotoka katika mji wenye wakazi wasiozidi 30,000 ilipanda daraja kwa mara ya kwanza mwaka wa 2014 na kusalia kwenye ligi kuu kwa misimu saba. (2018/19)

7. Zinadine Zidane

ronaldo,messi, Siku ya Picha Duniani: Ronaldo&Messi/Picha 10 za Kuvutia za Muongo Uliopita Ligi ya Laliga Santander., Meridianbet
Zinedine Zidane alikua kivutio tena alipochukua nafasi ya ukocha wa Real Madrid. Angeshinda mataji mawili ya LaLiga Santander na matatu ya Ligi ya Mabingwa kwa misimu miwili kama kocha. (2015/16)

8. Mashabiki wa Real Betis

ronaldo,messi, Siku ya Picha Duniani: Ronaldo&Messi/Picha 10 za Kuvutia za Muongo Uliopita Ligi ya Laliga Santander., Meridianbet
Mashabiki wa Real Betis hutupa vinyago laini uwanjani wakati wa mapumziko kwenye mechi moja ya nyumbani kwenye Uwanja wa Benito Villamarin kila msimu, ili kuchangia mashirika ya kutoa misaada ya watoto nchini. (2021/22)

9. Kurejea kwa Michezo baada ya UVIKO-19

ronaldo,messi, Siku ya Picha Duniani: Ronaldo&Messi/Picha 10 za Kuvutia za Muongo Uliopita Ligi ya Laliga Santander., Meridianbet
Baada ya mapumziko ya miezi mitatu yasiyo na kifani kutokana na janga la kimataifa la COVID-19, soka la LaLiga hatimaye lilirejea na El Gran Derbi, Seville Derby, kati ya Sevilla FC na Real Betis. Wachezaji walinyamaza kwa dakika moja kabla ya mchezo kuanza kuwaenzi wale wote waliopoteza maisha katika miezi iliyopita. (2019/20)

10. Messi Akionesha Heshima kwa Maradona.

ronaldo,messi, Siku ya Picha Duniani: Ronaldo&Messi/Picha 10 za Kuvutia za Muongo Uliopita Ligi ya Laliga Santander., Meridianbet
. Lionel Messi akivua jezi namba 10 ya Newell chini ya jezi yake ya FC Barcelona ili kumuenzi Diego Maradona, siku chache baada ya kifo cha nguli huyo wa Argentina. (2020/21)

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa