Aplili 1 inafahamika kuwa siku ya wajinga duniani, siku ambayo watu hufanya utani kwa kwa kuwadanganya marafiki zao na watu wao wa karibu. Kwa ajili ya kufurahi tu. Man City hawajaacha hili liwapite.

Klabu ya Man City, kwa upande wa wanawake waliandaa shughuli ya kuwashirikisha wachezaji wao. Waliwashirikisha kutoa tangazo kuwa klabu hiyo imemsajili mbwa kwa ajili ya michezo.

Siku ya Wajinga Ilivyoenda Man City!

Tayari maneno yaliandaliwa, kuwa ni nini wanapaswa kusema huku wakirekodiwa kile wanachokiosema. Wote waliamini lile ni jambo ambalo timu ilihitaji, na wakatamani kuona mbwa anayesajiliwa na timu, wengine walikuwa wanastaajabu tu kuwa ‘tunasajili mbwa’

Baadaye, wakafahamu kuwa walikuwa wanaangukia mkenge wa sikukuu ya wajinga, lakini tayari walikuwa wameshafanya kile ambacho walitarajiwa kufanya.

Kimsingi, kina dada wa Man City wamekuwa wajinga kwa leo tuu! Angalia hii isikutokee kwenye jambo la msingi😂😂


3500 NI YAKO UKIJIUNGA TU MERIDIANBET!

Una nafasi ya kupata bonasi ya shilingi 3500 kwa ajili ya kuanza safari yako ya kasino ya mtandaoni ya Meridianbet.

Kubeti Poa - Bonasi Kubwa

Jisajili sasa

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa