Simba Rasmi Yamsajili Chikwende.


Club ya Simba SC imethibitisha kuwa imemsajili mchezaji Perfect Chikwende kutokea FC Platinum ya Zimbabwe.

Chikwende aliingia katika rada za Simba SC baada ya kuwafunga katika mchezo wa roundi ya kwanza Ligi ya Mabingwa Afrika jijini Harare Zimbabwe.

 

Taarifa hizo sasa ni rasmi baada ya awali kuwa kama tetesi, Simba hawajataja wazi mkataba wa miaka mingapi wamempa Chikwende lakini inasemekana ni mkataba wa miaka miwili.

Mabingwa hao wa Tanzania Premier League wamezidi kujiimarisha kuelekea katika michezo ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Barani Africa inayotarajiwa kuanza mapema mwezi February.


MERIDIANBET INAKUPA NAFASI YA KUWA MILIONEA KWA KILA BAADA YA DAKIKA 5

Mchezo wa Keno unakupatia fursa ya kuibuka kidedea kupitia droo zinazochezwa kila baada ya dakika 5 tu!! Tunaposema Meridianbet ni nyumba ya mabingwa, tunamaanisha!!

INGIA MCHEZONI

17 Komentara

    Chikwende karibu sana simba

    Jibu

    Karibu san chikwende

    Jibu

    Kila lakheri chikwende

    Jibu

    Kaz kaz

    Jibu

    Kalibu sana chikwende

    Jibu

    Simba wanazidi kupamba kwa Kasi ya ajabu

    Jibu

    Karibu sana chikwende

    Jibu

    Jambo zuri

    Jibu

    Kila la kheri

    Jibu

    saf

    Jibu

    Vizuri

    Jibu

    Chikwende is RED. Karibu msimbazi

    Jibu

    Ngoja tuone

    Jibu

    Safii Sana chikwende yupo vizuri

    Jibu

    Mikia wanatapatapa

    Jibu

    kazi kazi

    Jibu

    Yangu macho tu sijui watamtoa nani katika hiyo nafasi

    Jibu

Acha ujumbe