Mlinzi wa kati wa Simba SC, Henock Inonga amechaguliwa mchezaji bora wa mashabiki wa mwezi Aprili (Emirate Aluminium ACP Simba Fans Player of the Month).

Ndani ya mwezi Aprili, Inonga amecheza mechi nne sawa na dakika 360 huku akionyesha kiwango safi kwenye michezo yote.

 

simba sc, Simba SC : Inonga Mchezaji Bora Mwezi April., Meridianbet

Inonga amewapiku walinzi wenzake Shomari Kapombe na Joash Onyango ambao aliingia nao fainali ya kinyang’anyiro hicho. Mchezaji huyo atakabidhiwa fedha taslimu Sh 2,000,000 na tuzo kutoka kwa wadhamini Emirate Aluminium ACP.

Mchanganuo wa Kura zilizopigwa na mashabiki wa Simba SC:

1. Inonga Kura 2277 Sawa na Asilimia 82.14
2. Kapombe Kura 457 Sawa na Asilimia 16.49
3. Onyango Kura 38 Sawa na Asilimia 1.37


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa