Mlinzi wa kulia wa Simba SC, Shomari Kapombe, amechaguliwa mchezaji bora wa mwezi Februari wa mashabiki (Emirate Aluminium ACP Simba Fans Player of the Month).

 

simba, Simba SC : Kapombe Mchezaji Bora Mwezi February., Meridianbet

Kapombe amewashinda mlinzi wa kati Henock Inonga na winga Peter Banda ambao aliingia nao fainali ya kinyang’anyiro hicho.

Kapombe atakabidhiwa fedha taslimu Sh 2,000,000 na tuzo kutoka kwa wadhamini Emirate Aluminium ACP ikiwa ni zawadi ya kuibuka mshindi.

Lengo la kuanziasha tuzo hizo ni kuongeza hali ya kujituma kwa wachezaji ili kuipigania zaidi timu kupata matokeo ya ushindi.

Mchanganuo wa kura:

Shomari Kapombe kura 821 (67%)

Henock Inonga kura 277 (23%)

Peter Banda kura 125 (10%)


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa