Msafara wa Simba SC usiopungua watu 40, utaondoka nchini usiku wa leo kwenda Afrika Kusini kuwakabili Kaizer Chiefs kwenye Robo Fainali ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika utakaopigwa Jumamosi hii saa 1 usiku.

 

Simba

Simba katika kuhakikisha wanafanya vizuri kwenye mchezo huo wa ugenini tayari wamewatanguliza kundi lao la kwanza juzi Jumamosi mara baada ya mchezo wa Yanga kuhahirishwa ili kuweka mazingira vizuri.

Kutokana na Simba kuondoka nchini leo maana yake mchezo wa VPL dhidi ya Coastal Union uliopangwa kupigwa Jumanne saa 1 usiku hautokuwepo.

Mchezo wa pili wa robo fainali hiyo unatarajiwa kupigwa wiki moja baadae katika dimba la Benjamin Mkapa, Jijini Dar es Saalam.


PESA IPO HAPA KATIKA KASINO YA LUCKY LUCKY.

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Lucky Lucky na uwe moja ya washindi na Mabingwa.

simba, Simba SC Kuelekea Afrika Kusini Leo Usiku., Meridianbet

CHEZA HAPA

 

13 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa