Simba SC Kuwakosa 5 Kombe la Shirikisho.

 

Simba SC, Februari 13, 2022 saa 10:00 jioni watashuka Katika dimba la Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam kumenyana na ASEC Mimosas ya Ivory Coast katika mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika.

 

Simba SC Yaanza Vyema Ligi ya Mabingwa.

Klabu ya Simba SC itaingia katika mchezo wa kimataifa wa Kombe la Shirikisho Afrika (CAF) dhidi ya ASEC Mimosas 🇨🇮 watawakosa nyota wao watano kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo majeruhi.

Wachezaji hao ni mshambuliaji Chris Mugalu ambaye amevunjika mkono hivyo hatahusika katika mchezo huo, Kibu Denis ambaye anatarajiwa kuanza mazoezi mepesi leo, Clatous Chama hatashiriki kabisa michuano hiyo kutokana na kanuni za (CAF), Thadeo Lwanga majeruhi na Bernard Morrison aliye simamishwa kutokana na utovu wa nidhamu.

Chris Mugalu – Mshambuliaji
Kibu Denis – Mshambuliaji
Clatous Chama – Kiungo Mshambuliaji
Thadeo Lwanga – Kiungo Mkabaji
Bernard Morrison – Mambo Binafsi


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

Acha ujumbe