Simba SC Mabingwa Mapinduzi Cup.

 

Klabu ya Simba SC wamefanikiwa kutwaa taji la Mapinduzi Cup kwa mara ya 4 baada ya kuiadhibu Azam FC kwa bao 1-0 katika uwanja wa Amaan, Zanzibar.

 

Mchezo huo ulioudhuliwa na Raisi wa Zanzibar, Mh. Dr.Hussein Ali Mwinyi ambaye alikua Mgeni Rasmi uliokuwa na upinzani mkubwa na kushuhudia bao moja pekee.

Bao pekee la Simba SC liliwekwa kimyani na Meddie Kagere kwa mkwaju wa penati mara baada ya Sakho kuchezewa faulu ndani ya boksi na mlinda mlango wa Azam FC Mathias Kigonya.

Mchezo huo ambao ulikuwa na hisia kwa mashabiki waliohudhuria Uwanja wa Amani ulikuwa ma mvuto wa aina yake kufuatia kila timu kuonesha uwezo wa kupambana.


JIACHIE NA ALMIGHTY AZTEC

Ni muda wako kujiachia na mchezo maridhawa wa Almighty Aztec katika kasino bomba za meridianbettz. Nafasi ya kutengeneza mkwanja iko mikononi mwako kazi ni kwako.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe