Simba SC : Sakho Mchezaji Bora Mwezi January.

 

Kiungo Mshambuliaji Pape Ousmane Sakho, amechaguliwa Mchezaji Bora wa Mashabiki wa mwezi Januari (Emirate Aluminium ACP Simba Fans Player of the Month).

Sakho raia wa Senegal amewapiku nyota wenzake wawili Sadio Kanoute na Henock Inonga ambao aliingia nao fainali.

Katika mwezi Januari Sakho amechezea Simba SC mechi saba akidumu uwanjani dakika 563 na amefunga mabao matatu huku akionyesha kiwango safi.

Kwa ushindi huo Sakho atakabidhiwa fedha taslimu Sh 2,000,000 na tuzo kutoka kwa wadhamini Emirate Aluminium ACP.

Mchanganuo wa kura zilivyopigwa na mashabiki wa Simba SC.

Pape Sakho – 58.02% (1015)

Henock Inonga – 34.67% (607)

Sadio Kanoute – 7.31% (128)


VUNA MKWANJA NA KENO

Dakika tano pekee zinakutosha kuwa mmoja wa washindi wa mkwanja mrefu ndani ya kasino pendwa ya meridianbettz katika sloti maridhawa ya KENO, moja ya michezo inayoipa thamani dau lako.

tetesi, Tetesi za Soka barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe