Klabu ya Simba SC imeambulia pointi moja katika mchezo wa ugenini wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Polisi Tanzania kwa matokeo ya 0-0 kwenye Uwanja wa Ushirika Moshi uliochezwa jana majira ya saa kumi jioni.

 

simba sc, Simba SC Yakabwa Koo na Polisi Tanzania., Meridianbet

Simba imefikisha pointi 41 na kujitengenezea mazingira magumu ya kutetea Ubingwa wake kwa kuwa Yanga ipo kileleni ikiwa na pointi 51. Polisi wapo nafasi ya nane wakiwa na pointi 24

Baada ya Mchezo huo, Kocha wa Simba, Pablo Franco amesema ni ngumu kucheza mechi mbili ndani ya siku mbili, alifanya mabadiliko ya kikosi ili kukwepa wachezaji kuumia kuelekea Mchezo ujao.

Simba SC imerejea Dar es Saalam kujiandaa na mchezo wa robo fainali wa kombe la Shirikisho Barani Afrika dhidi ya Orlando Pirates siku ya Jumapili majira ya saa moja usiku katika dimba la Mkapa.

 


VUNA MKWANJA NA AVIATOR

Maana halisi ya ushindi mkubwa unaipata katika kasino ya mtandaoni ya Aviator kutoka meridianbettz. Andaa kapu la ushindi wa mkwanja na beti kibao za BUREEE.

 

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

SOMA ZAIDI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa