Kikosi cha Simba SC kimeingia kambini baada ya mazoezi ya asubuhi tayari kwa maandalizi ya mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Orlando Pirates utakaopigwa nchini Afrika Kusini wikiendi hii.

 

simba sc, Simba SC Yarejea Kambini Kuivaa Orlando Pirates., Meridianbet

Baada ya ushindi wa bao moja kwa bila katika uwanja wa nyumbani Jumapili, wachezaji wa Simba SC walipewa mapumziko na kikosi kimeanza mazoezi na kuingia kambini moja kwa moja.

Simba SC imeanza mazoezi mapema kwa lengo la kuhakikisha wanapata matokeo mazuri ugenini ili kufuzu hatua ya nusu fainali ya kombe la Shirikisho.

Mpaka sasa hakuna taarifa ya mchezaji aliyepata majeraha makubwa katika mchezo wa na wanaamini wako timu iko tayari kwaajili ya mechi yao ya marudiano.


VUNA MKWANJA NA AVIATOR

Maana halisi ya ushindi mkubwa unaipata katika kasino ya mtandaoni ya Aviator kutoka meridianbettz. Andaa kapu la ushindi wa mkwanja na beti kibao za BUREEE.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

SOMA ZAIDI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa