Simba SC Yatamba Tuzo za Mwezi Machi.

 

Kocha wa Simba SC, Pablo Franco na kiungo mshambuliaji, Clatous Chama, wame wameng’ara katika Tuzo za Ligi Kuu ya NBC za mwezi Machi.

 

Pablo amechaguliwa Kocha Bora wa Ligi wa Mwezi wakati Chama akishinda Tuzo ya Mchezaji Bora wote wakitoka katika klabu moja.

Pablo amewashinda Kocha wa Yanga, Nasreddine Al Nabi na Francis Baraza wa Kagera Sugar ambao aliingia nao fainali ya kinyang’anyiro hicho.

Kwa upande wake Chama amewashinda wachezaji ambao ameingia nao fainali katika kinyang’anyiro hicho.

Hii ni mara ya kwanza kwa Pablo kushinda tuzo hiyo tangu ajiunge Simba SC na kwa upande wa Chama pia baada ya kurejea tena msimbazi mwezi Januari.


3500 NI YAKO UKIJIUNGA TU MERIDIANBET!

Una nafasi ya kupata bonasi ya shilingi 3500 kwa ajili ya kuanza safari yako ya kasino ya mtandaoni ya Meridianbet.

Kubeti Poa - Bonasi Kubwa

Jisajili sasa

Acha ujumbe