Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limekubali ombi la klabu ya Simba SC la kuingiza mashabiki 60,000 uwanjani kwenye mchezo wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Orlando Pirates.

 

simba sc, Simba SC : CAF Yaruhusu Mashabiki 60,000., Meridianbet

Mchezo huo baina ya Simba SC dhidi ya Orlando Pirates utapigwa Jumapili ya Aprili 17, 2022 majira ya saa 1:00 usiku katika dimba la Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam.

Mchezo huo wa kihistoria utakuwa wa kwanza kuchezwa katika nchi ya Tanzania ukitumia teknolojia ya marudio michezoni VAR kwa mara ya kwanza.

Tiketi za mchezo huo tayari zimenza kuuzwa kupitia mitandao ya simu. Kwa taarifa zaidi tembelea mitandao mbalimbali ya Simba SC Tanzania.

Mchezo wa marejeano utapigwa nchini South Africa baada ya wiki moja kati ya tarehe 24 April 2022.


VUNA MKWANJA NA AVIATOR

Maana halisi ya ushindi mkubwa unaipata katika kasino ya mtandaoni ya Aviator kutoka meridianbettz. Andaa kapu la ushindi wa mkwanja na beti kibao za BUREEE.

 

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

SOMA ZAIDI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa