Mechi nyingine kali ya kutazama ni hii ya Simba SC ambaye atauwa ugenini kukipiga dhidi ya Fountain Gate ambao wapo nafasi ya 6 kwenye msimamo wa ligi.
Tofauti ya pointi kati ya Simba na Fountain Gate ni 23 huku mechi ya mwisho kukutana, mgeni alipasuka vibaya mno, hivyo leo hii yupo nyumbani akitaka kulipa kisasi.
Pia meridianbet inatoa michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, poker, Roullette, sloti na mingine kibao. Ingia meridianbet na ucheze sasa.
Vijana hao wa Fadlu Davids kwenye mechi 16 ambazo wamecheza wameshinda mechi 14, wakitoa sare mechi 1 na kupoteza mechi 1, huku kwa upande wa Faountain Gate wao wameshinda mechi 6 wakitoa sare mechi 2 na kupoteza mechi 8 hadi sasa huku wakikusanya pointi zao 20 hadi sasa.
Simba anahitaji kutetea taji la ligi kuu msimu huu, hivyo kila mchezo ni muhimu kwao kwani matnai wake jana alishinda na hivyo leo hii pointi 3 zitampeleka hadi kileleni kwenye msimamo wa ligi. Huku mwenyeji yeye ushindi wake wa leo utamfanya abakie nafasi hiyo hiyo aliyopo.
Meridianbet wameipa mechi hii ODDS 12 kwa 1.19 huku pia ikiwa na machaguo uyapendayo. Ingia kwenye akaunti yako na usuke jamvi lako la ushindi na wababe hawa wa ubashiri.
Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa.