Baada ya Simba  kupenya hatua ya awali na kutinga hatua ya mtoano sasa inaingia mikononi mwa F.C. Platinum ya Zimbabwe kwenye hatua ya mtoano.

Simba, Simba Uso kwa Uso na F.C. Platinum, Meridianbet

Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Sven Vandenbroeck jana Desemba 5 ililazimisha sare ya bila kufungana na Klabu ya Plateau United kutoka Nigeria Uwanja wa Mkapa.

Simba, Simba Uso kwa Uso na F.C. Platinum, Meridianbet

Inapenya hatua ya mtoano kwa kuwa mchezo wa kwanza wa awali wa  Ligi ya Mabingwa uliochezwa Uwanja wa New Jos Nigeria Simba ilishinda bao 1-0 lililopachikwa kimiani na Clatous Chama.

Simba, Simba Uso kwa Uso na F.C. Platinum, Meridianbet

Mchezo wa kwanza unatarajiwa kuchezwa kati ya Desemba 22-23 nchini Zimbabwe Uwanja wa Taifa wa Zimbabwe na ule wa marudio unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa kati ya Januari 5-6.


FURAHIA MUZIKI MTANDAONI HUKU UKITENGEZA MKWANJA!!

Mchezo wa Astro Legend unakupatia burudani ya muziki kupitia kasino ya mtandaoni ya Meridianbet. Utaburudika huku ukiendelea kutengeza mkwanja mrefu, jiunge sasa na uwe miongoni mwa mabingwa!!

Simba, Simba Uso kwa Uso na F.C. Platinum, Meridianbet

INGIA MCHEZONI

24 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa