Bodi ya Ligi Tanzania (TPLB) imetangaza kughairishwa kwa mchezo wa Simba SC dhidi ya Coastal Union uliyopangwa kuchezwa Mei 11,2021 katika Uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam.

simba

Bodi imesema kuwa kughairishwa kwa mchezo huo ni kutokana changamoto za usafiri, Simba italazimika kusafiri Mei 11 kwenda Afrika Kusini kwaajili mchezo wao wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Kaizer Chiefs.

”Mchezo wa VPL Na. 259 (Simba SC vs Coastal Union FC) uliopangwa kuchezwa Mei 11, 2021 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa jijininDar es Salaam, umeahirishwa na sasa utapangiwa tarehe nyingine.”– Taarifa kutoka Bodi ya Ligi Kuu Tanzania.

simba
kaizer Chiefs

TPLB imeongeza kuwa ”Sababu ya mabadiliko hayo ni kwamba kutokana na changamoto za usafiri, Simba italazimika kusafiri siku hiyo (Mei 11) kwenda Afrika Kusini kwa ajili ya mchezo wa CAFCL dhidi ya Kaizer Chiefs Mei 14.”

Miamba hiyo ya soka na wawakilishi wa Tanzania Simba SC wanatarajia kushuka katika Uwanja wa FNB majira ya saa 1:00 usiku kwa saa za Afrika Mashariki Mei 15, 2021 kuwakabili wenyeji Kaizer Chiefs hatua ya robo fainali ya Ligi Ya Mabingwa.


PESA IPO HAPA KATIKA KASINO YA LUCKY LUCKY.

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Lucky Lucky na uwe moja ya washindi na Mabingwa.

simba, Simba Vs Coastal Yahairishwa, Meridianbet

CHEZA HAPA

 

2 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa