Simba Yamtambulisha Kibabage

Tetesi za usajili dirisha hili dogo zinaendelea kupamba moto ambapo baadhi ya vilabu vinaendelea kufanya usajili ikiwemo Simba SC ambapo wao wamemsajili Nickson Kibabage kutoka Sindiga Black Stars.

Simba Yamtambulisha Kibabage

Kibabage ambaye ni beki wa kushoto, amepewa mkataba wa miaka miwili kuitumikia Simba huku wakiwa na matumaini ya mchezaji huyo kufanya vyema na kuisaidia timu hiyo.

Mchezaji huyo amekuwa akionesha kiwango kizuri akiwa na Singida Big Stars, anatarajiwa kuongeza ushindani na uimara katika safu ya ulinzi ya Simba.

Ikumbukwe kuwa mchezaji huyo pia amewahi kukipiga mitaa ya Twiga na Jangwani yaani Yanga ambao ndio mabingwa watetezi wa ligi hadi sasa lakini pia wakiwa na kiwango kizuri msimu huu.

Simba mpaka sasa kwenye mechi walizocheza wameshapoteza mechi moja na kutoa sare moja hapo juzi dhidi ya Mtibwa Sugar kutoka kule Morogoro huku matumaini ya wao kutwaa ubingwa wa NBC yakiaanza kufifia na mashabiki wa klabu hiyo wakiwa hawana imani na timu yao kutokana na matokeo ambayo wanayapata.

Simba Yamtambulisha Kibabage

Klabu hiyo chini ya kocha mkuu Barker wanatarajiwa kucheza mchezo wa ligi ya mabingwa ugenini dhidi ya Esperence De Tunis ya kule Tunisia huku mchezo huu ukiwa ni muhimu sana kwao kushinda kwani mpaka sasa kwenye mechi alizocheza hajashinda hata moja.

Je Ijumaa hii Mnyama anaweza kushinda?. Meridianbet inakwambia kuwa endelea kubashiri hapa kwani ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Ingia kwenye akaunti yako na uanze safari yako ya ushindi sasa.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.