Mlinzi wa AC Milan Simon Kjaer amepata jearaha linalohofiwa kuwa kubwa. Jeraha lake linatajwa kuwa kiwango cha daraja la kwanza sehemu ya paja la kulia na huku akitazamia kufanyiwa vipimo zaidi.

Mlinzi huyu wa Rossoneri aliumia misuli katika kipindi cha kwanza cha ushindi wa Milan wa 4-2 dhidi ya Celtic kwenye Ligi ya Europa. Uchunguzi zaidi unahitajika ili kubaini kiwango cha jeraha na athari yake.

Simon Kjaer Apata Jeraha Milan!


Nafasi ya Simon Kjaer ilichukuliwa na Alessio Romagnoli na klabu ilithibitisha Kjaer amepata jeraha la misuli ya daraja la kwanza kwenye paja la kulia.

Kocha Stefano Pioli anatarajia kumweka benchi beki huyo. Nyota huyu mwenye ushawishi anatarajiwa huenda akarejea baada ya muda mfupi, huku mlinzi huyo akiwekwa kwenye vipimo vya matazamio ya siku saba, kutathmini mabadiliko ya hali yake.


FURAHIA MUZIKI MTANDAONI HUKU UKITENGEZA MKWANJA!!

Mchezo wa Astro Legend unakupatia burudani ya muziki kupitia kasino ya mtandaoni ya Meridianbet. Utaburudika huku ukiendelea kutengeza mkwanja mrefu, jiunge sasa na uwe miongoni mwa mabingwa!!

INGIA MCHEZONI


16 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa