Rais wa Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF), Wallace Karia amesema hana mahaba na Simba kama watu ambavyo wanamhusisha na kwamba hajawahi kuichukia Yanga, bali anaipenda Coastal Union ya Tanga ambako ndiko unyumbani kwao.

Karia

“Mimi kama ni mahaba ya timu yako Coatal Union na iko kubaya, inaishia shimoni, ila kusema nina mahaba na Simba inatoka wapi au naichukua Yanga kwa sababu gani.

“Mimi hata ugomvi na Yanga sina, ni maneno ya watu tu, lakini katika maisha ukiwa kiongozi hauwezi kumfurahisha kila mtu na sio kwamba utendaji wangu utamfurahisha kila mtu, kuna mwingine nitamkera kutoka na utashi wake” amesema Karia.

Simba


MAANA KAMILI YA USHINDI KATIKA KASINO ZA MERIDIANBETI NI PAMOJA NA MCHEZO WA PANDA PANDA.

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Panda Panda na uwe moja ya washindi na Mabingwa.

Gomes, Gomes : Sitafanya Usajili wa Kutisha., Meridianbet

CHEZA HAPA

2 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa