Singida Watamba Kutetea Ubingwa Wa Cecafa

Mabingwa watetezi wa Kombe la Kagame Cecafa Cup Singida Black Stars waamesema kuwa wanachohitaji ni kutetea ubingwa wao na wapo Rwanda kwa lengo hilo.

Singida Watamba Kutetea Ubingwa Wa Cecafa

Msemaji wa Singida Black Stars  Hussein Masanza amesema klabu hiyo imejipanga kikamilifu kutetea ubingwa wa Kombe la CECAFA, ikieleza kuwa maandalizi ya kikosi yanaendelea vizuri kuelekea mashindano hayo.

Amesema lengo kuu la timu ni kuendelea kufanya vizuri katika mashindano ya kimataifa kwa kuutetea ubingwa walioutwaa, huku akisisitiza kuwa usajili uliofanywa na maandalizi ya kabla ya msimu yanalenga kujenga kikosi imara kitakachoweza kushindana kwa kiwango cha juu.

Singida Watamba Kutetea Ubingwa Wa Cecafa

Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa

Aidha, amewataka mashabiki wa Singida Black Stars kuendelea kuiunga mkono timu hiyo, akieleza kuwa mchango wao utakuwa muhimu katika safari ya kutetea taji la CECAFA na kufikia malengo ya msimu mpya.

Singida Watamba Kutetea Ubingwa Wa Cecafa

“Haiwezi kuwa rahisi kuwa mabingwa kwenye haya mashindano, lakini dhamira yetu ni kuhakikisha tunachukua tena ubingwa huu,” alisema Massanza.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.