Kocha wa klabu ya Norwich City Dean Smith ameilalamikia penati waliyozawadiwa Man City kwenye dakika za mwisho kwenye dimba la Carrow Road kwenye mchezo wa ligi kuu ya Uingereza japo amekubali kuwa city walikuwa bora zaidi.

Raheem Sterling  alifanikiwa kufunga goli tatu peke yake japo alikosa penati, kufanya klabu ya Norwich kupoteza mchezo wake wa kwanza kwenye michezo mitano ya hivi karibuni, lakini Smith alimlalamikia referee baada ya kuwazadia City penati kutokana Grant na Delap kukutana pamoja.

Smith

“Ni jioni inayokoseha raha, tumefungwa na timu bora, lakini goli la nne ,nilimwambia referee, maamuzi yake yalikuwa ya kipumbavu.”

Klabu ya Norwich City imetumia msimu wote wa kwanza ikiwa chini kwenye hatari ya kushuka daraja kwenye msimamo, na sasa wanashika nafasi ya 18 wakiwa na alama 17, alama moja dhidi ya Newcastle ambayo ina michezo miwili mkononi.


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa