Soka: Ligue 1 Kurejea Rasmi

Msimu mpya wa soka kunako Ligue 1 – Ufaransa kurejea. PSG watakuwa katika harakati mpya za kuutafuta ubingwa wa 8 katika miaka 9.

Wakati Thomas Tuchel akiandaa kikosi chake kuvaa na miamba wa Ujerumani – Bayern Munich katika Ligi ya Mabingwa, msimu mpya 2020/21 unaelekea kuanza rasmi. Kiuhalisia PSG wanaonekana kuwa na nafasi nzuri ya kuendelea kuwa mabingwa wa ligi hiyo huku timu zingine zikiendelea kusubiri.

Lorient na Lens wamepanda daraja na watakuwepo kwenye Ligue 1 msimu ujao. Bordeaux na Nantes watafungua pazia la Ligue 1 siku ya Ijumaa. Mchezo wa mwisho wa mwaka 2019/20 ulipaswa kuwa kati ya Lille na Lyon, mchezo ambao haukuchezwa baada ya ligi hiyo kukatishwa kutokana na mlipuko wa COVID19.

Kwanini PSG wanapewa nafasi ya kuwaongoza wengine kwenye soka la Ufaransa msimu wa 2020/21?

Uwekezaji mkubwa na nguvu ya kiuchumi ya wamiliki wa PSG kutoka Qatari, unaifanya timu hiyo kukamilika kila idara.

Kylian Mbappe aliongoza kwa magoli msimu uliopita akiwa na magoli 18 sawa na Ben Yedder wa Monaco wakati Di Maria aking’ara kama mfalme wa pasi za magoli (14). Neymar alimaliza msimu akiwa anaongoza kwa kukokota mpira (90). Pamoja na hayo, PSG walizingatia suala la ubora wa kikosi na wameruhusu Edson Cavani kuondoka klabuni hapo japokuwa alikuwa ndio mfungaji bora wa muda wote.

Timu gani itakuwa mpinzani mkuu wa PSG? 

Lyon watakuwa na jambo la kuuthibitishia ulimwengu. Baada ya kupambana na Ligi ya Mabingwa na kuonesha uwezo wao, ni dhahiri vijana hawa wanakila sababu ya kuonesha upinzani thabiti dhidi ya PSG katika League 1.

Marseille, Lille na Monaco pia zina nafasi ya kuonesha uwezo wao wa soka kunako League 1 na kuufanya msimu wa 2020/21 kuwa wa kuvutia zaidi wakati ambapo PSG atakuwa na kibarua cha kutetea taji lake.


Drops and Wins!

Umeijua hii? Ni promosheni kabambe ya ushindi kwenye Casino ya mtandaoni ya Meridianbet! Unaweza kushinda hadi Euro 2,000,000 leo.

Soma zaidi Ucheze

40 Komentara

    Dah tuliumiss uhondo huo

    Jibu

    Natarajia Lyon itaonyesha upinzani mkubwa kwa PSG msimu huu unaoanza kutimua vumbi hivi karibuni,jambo la kusikitisha hakutakuwa na mashabiki kutokana na Corona#meridianbettz

    Jibu

    Tunasubili kwa amu.

    Jibu

    Ligi zinaendelea mashabiki tunafurahia kusikia hivyo japokua tutazitazama kwenye runinga

    Jibu

    Burudani inaendelea Ila hakuna wa kumpindua PSG

    Jibu

    Aisee hii utakua mtanange wa kufa mtu

    Jibu

    Mwaka huu hatukai kinyonge tunaomba tuu Corona isiongeze kasi tuendelee kupata burudani

    Jibu

    Kwa upande wa ufaransa maarufu Kama ligi 1 PSG Hana mpinzani kule ataendelea kua mbabe siku zote hii inatokana kuwa na kikosi kipana kila msimu.

    Jibu

    Katika uhondo wa soka la liga wako vzur sana kuwai michuano pamoja na bundasliga hizo ndo ligi ambazo ziko haraka sana kuanda nibhabar njema sana kuona inaanza

    Jibu

    Tuliimic kinoma.

    Jibu

    Ngoja tuone

    Jibu

    Mchaka mchaka umeanza

    Jibu

    PSG kwa msimu ujao bado hana mpinzani lazima ataendelea kuwakilisha vema msimu ujao

    Jibu

    Mh mtanange utakua wa kufa mtu

    Jibu

    Tunasubiri kwa hamu

    Jibu

    PSG wakikazana vizuri wanaweza nyakua tena ubingwa

    Jibu

    Tunasubir kwa hamu

    Jibu

    Tunasubiri kwa hamu tuone
    @meridianbettz

    Jibu

    Mashabiki tunasubili kwa hamu tuone mambo mazuri#meridianbettz

    Jibu

    Subiri tuone ndoto za mbappe zitatimia..!tumeona alakati zake zote mbappe kuipelekea clabu yake kuchukua ubingwa

    Jibu

    Habr njema kwa washabiki!

    Jibu

    Ligue one tuliisubiri kwa hamu

    Jibu

    Ngoja tuone

    Jibu

    Tulikuwa tunasubili kwa hamu

    Jibu

    Tulimiss sana kuona mambo hayo

    Jibu

    Nic tuliimic

    Jibu

    tuombe uzima

    Jibu

    Habari nzuri tulimic sana

    Jibu

    Haya ndio mambo mazuri tuliyoyamic

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Good

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Mwaka huu hatukai kinyonge tunaomba tuu Corona isiongeze kasi tuendelee kupata burudani

    Jibu

    League one njoo unipe pesa!!!

    Jibu

    Tunasubiri matokeo

    Jibu

    Habari njema Sana

    Jibu

    Nihabari njema sanaaa

    Jibu

    Habari nzuri sana#Meridianbettz

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.