Ole Gunnar Solskjaer, Kocha Mkuu wa Manchester United amesema kuwa nyota wake Bruno Fernandes ni kama Cristiano Ronaldo.

Hivi karibuni baada ya nyota huyo kufanya vizuri ndani ya United amekuwa akifananishwa na Ronaldo ambaye aliwahi kuitumikia timu hiyo na wote ni raia wa Ureno.

Fernandes, Solskjaer: Fernandes ni kama Ronaldo tu, Meridianbet

Fernandes amefunga jumla ya mabao 21 katika mechi 35 ndani ya United tangu atue hapo Januari mwaka huu akitokea Sporting Lisbon na ana jumla ya asisti 15.

Fernandes, Solskjaer: Fernandes ni kama Ronaldo tu, Meridianbet

Solskjaer amesema:”Fernandes ni kama Ronaldo yeye amekuwa msaada mkubwa kwa wachezaji kuwahamasiha wapambane zaidi wakiwa ndani ya uwanja hilo ni jambo nzuri.”


FURAHIA MUZIKI MTANDAONI HUKU UKITENGEZA MKWANJA!!

Mchezo wa Astro Legend unakupatia burudani ya muziki kupitia kasino ya mtandaoni ya Meridianbet. Utaburudika huku ukiendelea kutengeza mkwanja mrefu, jiunge sasa na uwe miongoni mwa mabingwa!!

Fernandes, Solskjaer: Fernandes ni kama Ronaldo tu, Meridianbet

INGIA MCHEZONI

15 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa