Kocha Mkuu wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjaer na benchi lake la ufundi hawafurahishwi na kitendo cha beki wa zamani wa timu hiyo Gary Nevile kuendeleza kampeni zake za kupinga umiliki wa Familia ya Glazer kuhusu klabu hiyo.

Gary akiwa ni mchambuzi wa soka la kituo cha Sky TV amekuwa mstari wa mbele kupinga familia hiyo kumiliki timu ya Manchester United.

Solskajer - Man

Mashabiki wa Manchester United wamekuwa hawapendi jambo hilo na hivi karibuni waliandamana kupinga suala hilo la umiliki wa timu kwenye familia hiyo.

Solskajer - Man.

Maandamano ya mashabiki hao yalifanya mchezo wao wa Ligi Kuu England dhidi ya Liverpool kuyeyuka mazima jambo ambalo limeongeza mzigo mzito kwa timu yake kuwa na mechi nyingi mfululizo.


PESA IPO HAPA KATIKA KASINO YA LUCKY LUCKY.

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Lucky Lucky na uwe moja ya washindi na Mabingwa.

solskjaer, Solskjaer Hafurahishwi na Nevile, Meridianbet

CHEZA HAPA

3 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa