Soule Yupo Tayari Kuichezea Roma Kwa Mara ya Kwanza

Matias Soule amewasili Roma akiwa katika hali nzuri na yuko tayari kucheza mechi yake ya kwanza chini ya Daniele De Rossi kabla ya msimu mpya wa Serie A.

Soule Yupo Tayari Kuichezea Roma Kwa Mara ya Kwanza

Mshambuliaji huyo wa Argentina mwenye umri wa miaka 21 aliwasili katika mji mkuu wa Italia Jumapili jioni huku kukiwa na mbwembwe nyingi, akipokea makaribisho kutoka kwa mashabiki wa Giallorossi, ambao wako tayari kumuona nyota wao mpya akifanya kazi.

Pia meridianbet inatoa michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, poker, Roullette, sloti na mingine kibao. Ingia meridianbet na ucheze sasa.

Roma wamekubali kumsajili Soule kutoka Juventus kwa dili la thamani ya Euro milioni 26 pamoja na nyongeza za €4m, wakipambana na ushindani mkali kutoka kwa Leicester City kuwania saini yake. Mchezaji huyo alishinikiza kuhama, akitaka kucheza pamoja na Paulo Dybala na Leandro Paredes.

Soule Yupo Tayari Kuichezea Roma Kwa Mara ya Kwanza

Gazeti la leo la Corriere dello Sport linaeleza jinsi Soule alikamilisha matibabu yake akiwa na Roma siku ya Jumatatu kabla ya kuweka bayana kuhusu mkataba wake wa miaka mitano, wenye thamani ya takriban euro milioni 1.8 kwa msimu pamoja na nyongeza.

Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa.

Soule Yupo Tayari Kuichezea Roma Kwa Mara ya Kwanza

Mchezaji huyo kisha alijiunga na wachezaji wenzake wapya mjini Trigoria na kuonyesha utimamu wake wa hali ya juu, jambo lililomfanya Daniele De Rossi kuanza kufikiria kwa dhati kumpa mshambuliaji huyo mwenye kipawa mechi yake ya kwanza katika mechi ya kirafiki ijayo na Olympiacos Jumamosi.

Acha ujumbe