Spurs Waacha Nyota Nje ya Ziara ya Kusini

Habari za kusikitisha zimewapata mashabiki wa Tottenham Hotspurs kabla ya ziara yao ya maandalizi ya msimu mpya kule New Zealand na Australia. Wachezaji Dejan Kulusevski na Mohammed Kudus wameachwa nje ya kikosi kinachosafiri, kutokana na kuendelea kwao kupona majeraha ya muda mrefu.

Spurs Waacha Nyota Nje ya Ziara ya Kusini

Kwa Kudus, hali ni ya kukatisha tamaa zaidi. Mashabiki walitarajia kurejea kwake baada ya kuonekana akifanya mazoezi gym, lakini jeraha la paja alilopata Januari dhidi ya Sunderland bado linamzuia. Badala ya kusafiri, ataendelea na programu ya matibabu London ili kuepuka hatari ya safari ndefu na mazoezi makali.

Kwa upande wa Kulusevski, picha ni mbaya zaidi. Winga huyo wa Kiswidi hajacheza mechi ya ushindani kwa miezi 14, tangu upasuaji wa goti kabla ya Spurs kutwaa Europa League Mei 2025. Kukosekana kwake hata kwenye kituo cha mazoezi cha Enfield kumeongeza hofu kwa benchi la ufundi kuhusu mustakabali wake.

Spurs Waacha Nyota Nje ya Ziara ya Kusini

Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa

Kocha Roberto De Zerbi sasa atalazimika kuandaa kikosi bila nyota hawa wawili, huku Spurs wakipanga kucheza mechi tatu Auckland na Sydney. Ushindi wao wa 1-0 dhidi ya MK Dons umeweka msingi, lakini mashabiki wanajua changamoto kubwa ipo mbele.

Spurs Waacha Nyota Nje ya Ziara ya Kusini

Aidha, wachezaji Wilson Odobert na Xavi Simons pia wameachwa London kuendelea na matibabu ya majeraha yao. Kwa Spurs, ziara hii itakuwa fursa ya kujaribu wachezaji wengine na kuangalia mbadala wa muda

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.