Steven Gerrard Muda Wowote kutua EPL

Steven Gerrard ndie kocha anayepigiwa chapuo la kuchukua mikoba iliyoachwa na Dean Smith katika klabu ya Aston Villa kwa sasa, ni swala ka muda tu kupewa mikoba rasmi.

Aston Villa imekuwa ikitafuta mrithi wa kuinoa klabu hiyo tokea kumfurusha aliyekuwa kocha wa klabu hiyo Dean Smith baada ya kichapo cha 1-0 kutoka kwa klabu ya Southampton.

Steven Gerrard
Steven Gerrard

Steven Gerrard amekuwa akipewa nafasi kubwa na kuwa chaguo la kwanza ambaye anaweza kuchukua mikoba hiyo, Gerrard amekuwa na uhusiano mzuri na mkuregenzi wa Aston Villa Christian Purslow tokea wakiwa wote Liverpool, ingawa Roberto Martinez, Paulo Fonseca, Kasper Hjulmand, Graham Potter na Ralf Rangnick nao wanapewa nafasi hiyo.

mafaniko ya Gerrard akiwa na klabu ya Rangers yamewavutia mabosi wa Aston Villa baada ya kuchukua ubingwa wa ligi kuu ya Scotland pasipo kupoteza mchezo wowote msimu ulioisha mbele ya mahasimu wao Celtics ambao walichukua ubingwa mara tisa mfululizo kabla ya Gerrard kufuta uteja huo  msimu ulioisha.

Aston Villa kwa sasa inashika nafasi ya 16 ikiwa ina ponti 10 kwenye michezo 11 ya ligi kuu ya Uingereza “EPL” wakiwa wameshinda michezo mitatu, na kutoa sare mchezo mmoja, huku wakipoteza michezo saba.


NJIA RAHISI YA MKWANJA NA TITAN DICE

Unawezaje kuikosa hii! njia rahisi ya kutengeneza mkwanja katika kasino maridhawa za meridianbet. Muda wa kufurahia na kutengeneza mkwanja ipo mikononi mwako unasubiri nini?

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA SASA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.