Suarez Akiri Ugumu, Ubingwa La Liga.

Mshambuliaji wa Barcelona Luis Suarez amekiri klabu hiyo imekubali kushindwa kwenye mbio za taji la LaLiga, sasa wanajipanga kupigania ndoo ya Ligi ya mabingwa.

Sare 3 katika michezo yao tisa tangu La Liga irejee zimeigharimu Barca na kuwaruhusu Real Madrid kuwaondoa juu ya msimamo, huku kikosi cha Zinedine Zidane kikihitaji kushinda mchezo mmoja tu kutwaa Ubingwa.

Suarez ambaye alionekana kama atakosa msimu mzima uliobakia baada ya kufanyiwa upasuaji wa goti mnamo mwezi Januari, lakini baada ya janga la corona kuongeza muda wa msimu kumalizika, imemsaidia yeye kupona na kurejea tena dimbani.

Huku nyota wa Kifaransa Antoine Griezmann akitarajiwa kukosa mechi mbili za kukamilisha msimu wa Ligi kwa Barcelona.

 

Suarez Akiri Ugumu, Ubingwa La Liga.

 

Suarez anatarajiwa kuanza katika mechi zote, lakini mshambuliaji huyo wa Uruguay amekiri kwamba kwa sasa wamejipanga kuweka nguvu yote kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya Napoli Agosti 8.

“Ukweli ni kwamba kushinda ligi imekuwa ngumu,”- Suarez akiongea na Diario Sport.

“Tumepoteza nafasi ya ubingwa, dhidi ya Sevilla, Celta Vigo na Atletico Madrid. Bao la Aspas kwenye mchezo wa Vigo lilituumiza sana, kwani tulipoteza nafasi kubwa.

“Sasa lazima tujipange kwenye Ligi ya Mabingwa, ndio lengo letu.”

Goli la Griezmann katika mchezo wa kwanza dhidi ya timu ya gennaro Gattuso mwezi Februari liliwapa Barca faida ya bao la ugenini kabla ya mchezo wa kurudiana huko Camp Nou mwezi ujao.

Iwapo timu ya Quique Setien itawaondosha Wa-Italiano, basi watakabiliwa na Chelsea au Bayern Munich, katika mchezo wao wa robo fainali Ligi ya Mabingwa.

Unawaona Barcelona na Messi wakifika wapi katika Ligi ya Mabingwa, wanaweza kutwaa ndoo?


Kuna ofa kibao sana unazofaidi ikiwa unabashiri na Meridianbet. Jiunge sasa kufurahia ofa zetu

Bonyeza HAPA Kujiunga.

51 Komentara

    Suarez anachokisema ni kweli kabisa kama Barcelona imeshindwa kutetea taji la laliga itetee tu la ligi ya mabingwa Ili wasije wakakosa vyote

    Jibu

    Mbona wanakata tamaa mapema..Suarez mnakosea wapi

    Jibu

    Habari mbaya kwa mashabiki wa Barcelona

    Jibu

    Poleni sana Barcelona sasa ndio muda wa kujipanga vingine .asante kwa nakala hii

    Jibu

    mnawavunja moyo mashabiki wenu jamani

    Jibu

    Poleni Sana Barcelona

    Jibu

    Habari mbaya kwa mashabiki wa livepool#meridianbettz

    Jibu

    Barcelona ni timu nzuri lakini sijui wanekosea wapi ila wasikate tamaa

    Jibu

    Barcelona Ni Tim nzuri sijui wanakosea wapi

    Jibu

    🤣🤣 washaishiwa mipango uko clabu bingwa ndo kuna majesh kama yote pole yao

    Jibu

    Pole yao

    Jibu

    Poleni barcelona

    Jibu

    Ni kweli Ubingwa kwao mwaka huu watausikia tu sababu Real Madrid naona washajihakikishia na hizo droo 3 zimewanyong’onyesha Barcelona kwenye mbio ya kulinyakua taji,wasubiri mwakani na wakijenge tena kikosi chake kwani wachezaji wake nyota wengi washachoka na umri umewatupa mkono

    Jibu

    Wasikate tamaa mapema Barcelona waongeze juhudi iliwafike kwenye ubingwa

    Jibu

    Habari mbaya sana kwa mashabiki wa arsenal wajipange msimu ujao

    Jibu

    Barcelona kwa sasa inashuka daraja wasipokuwa makini timu itayumba sana inabidi wajitahidi kurudisha heshima yao

    Jibu

    Habari mbaya kwa mashabiki wa Barcelona.

    Jibu

    Daah Barcelona mnakata tamaa mapema, inabid wajikaze kwa msimu ujao

    Jibu

    La liga ni ngumu sana kwa kwer

    Jibu

    Timu yao ishakuwa ya wazee tupu maana hakuna hata mchezaji mmoja mwenye umri chini ya miaka 33 wengi wao Ndio miaka hao jailsi

    Jibu

    Barcelona mnakwama wapi?

    Jibu

    Asikate tamaa Suarez nafasi pia Bado wanayo

    Jibu

    Wasikate tamaa wajipe moyo

    Jibu

    Barcelona ni timu nzuri ila cjui wanapotea wapi

    Jibu

    Baada ya Laliga kurejea niliona kila dalili kwamba Real Madrid imejiandaa zaidi kisaikolojia kuusaka Ubingwa wakati huo Barcelona kulikuwa na minong’ono ya kutokuwa na maelewano#meridianbettz

    Jibu

    Duuh

    Jibu

    Suarez ambaye alionekana kama atakosa msimu mzima uliobakia baada ya kufanyiwa upasuaji wa goti mnamo mwezi Januari, lakini baada ya janga la corona kuongeza muda wa msimu kumalizika, imemsaidia yeye kupona na kurejea tena dimbani.

    Jibu

    Longo lina bidi litimizwe so wana takiwa kujipanga tu game zilizo baki wafanye vizuri

    Jibu

    Suarez alichokisema ni kweli lakini barcelona wamekosea kukata tamaa mapema ilibidi wajipe moyo na wapambane zaidi

    Jibu

    Pambanen jaman

    Jibu

    Suarez ameshazeeka huyo jamaa anatakiwa astafu hana jipya soka limeshamtuma maana kwa mashabiki tunaona uwezo Kwanza ushapungua ata akilalamika kuwa kulikuwa na ugumu

    Jibu

    Lazima akubali Real madrid sio ya mchezo mchezo

    Jibu

    Barca wamepotea step sana toka kurudi kwa michezo na madrid kupata nafasi kuwapiku

    Jibu

    Habar njema

    Jibu

    Barcelona ni afadhali wawaze klabu bingwa maana kombe laligi msimu huu awawezi kuchukua

    Jibu

    Bado Barca inanafax kutwaaa

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Mpinzani wake Madrid kila mechi kwake ni fainali hatuoni dalili za kupoteza mechi barca wanastahili kuangalia upande mwengine wa shilingi.

    Jibu

    Maoni:Mbona wanakata tamaa mapema

    Jibu

    Msimu huu League ya mabingwa haina visingizio

    Jibu

    mbona unakua dhaifu sana

    Jibu

    Msimu huu league ya mabingwa Aina visingizio

    Jibu

    Barca walichezea shilingi kwenye tundu la choo sasa wataambulia patupu

    Jibu

    Barca msimu huu hawana chao laliga.

    Jibu

    Nikweli kabisa ubingwa kwa barca ni mgumu sana labda wajipange dhidi ya uefa champions ligi

    Jibu

    Barcelona kutokua na maelewano ndio kumewakwamisha kutwaa taji msimu huu

    Jibu

    Luis Suarez anachosema ni sahihi kabisa

    Jibu

    Suarez yuko sahihi

    Jibu

    zidane again and again

    Jibu

    Pole yao

    Jibu

    Suarez mnyama#

    Jibu

Acha ujumbe