Mshambuliaji wa Atletico Madrid, Luis Suarez amewaingiza matatani wafanyakazi wa chuo kikuu cha Perugia nchini Italia.

Suarez amesababisha walimu 4 wa Chuo Kikuu cha Perugia nchini Italia mpaka wakasimamishwa kazi kwa miezi 8 kupisha uchunguzi kuhusu uongo waliomtengenezea Suarez.

 

Suarez Awaweka Matatizoni Walimu Perugia.

Walimu hao walifanya udanganyifu ili mchezaji huyo aonekane amefaulu mtihani wa lugha ya kiitaliano na kupata B1 wakati hajui na hajajifunza.

Hayo yalitokea katika kipindi cha majira ya dirisha la uhamisho majira ya kiangazi alipotaka kuhamia klabu ya Juventus ya Italia, baada ya mambo kuwa magumu pale Barcelona.

Baada ya hapo ndipo akalazimika kuomba uraia wa Italia na kutakiwa kufanya mtihani lakini inaonekana kama alidangaya kwani hajui kuzungumza Kiitaliano hata kidogo.


FURAHIA MUZIKI MTANDAONI HUKU UKITENGEZA MKWANJA!!

Mchezo wa Astro Legend unakupatia burudani ya muziki kupitia kasino ya mtandaoni ya Meridianbet. Utaburudika huku ukiendelea kutengeza mkwanja mrefu, jiunge sasa na uwe miongoni mwa mabingwa!!

suarez, Suarez Awaweka Matatizoni Walimu Perugia., Meridianbet

INGIA MCHEZONI

23 MAONI

  1. Walimwengu walishasema pesa ndio kila kitu. Dalili zinaonyesha walipenyezewa mpunga wa maana wakawa vipofu ghafla na kuandika alama zisizokuwepo.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa