Taarifa kutoka nchini Tunisia zinasema kocha wa zamani wa Simba SC, Sven Vandenbroeck yupo mbioni kutua jijini Tunis kuwanoa wababe wa jiji hilo, Esperance Tunis.
Inadaiwa Sven Vandenbroeck ambaye kwa sasa anaifundisha klabu ya FAR Rabat ya Morocco anatarajiwa kutambulishwa siku ya Jumatatu kama kila kitu kitaenda vizuri.
Vandenbroeck 🇧🇪 amepata mafanikio ya kuirudisha kwenye michuano ya Afrika FAR Rabat baada ya kuwa imepotea kwenye ramani ya michuano ya Afrika kwa muda mrefu.
Je, Sven ataenda kuwa kocha bora katika bara la afrika kutokana na ubora anaouonyesha katika kila klabu anayoifundisha.? Tunamuona wapi baada ya miaka 5 ijayo.
Kasino ya Mayan Eagle inakukufanya kuwa bingwa wakati wowote unapoamua kuicheza. Utaburudika huku ukiendelea kutengeza mkwanja mrefu, jiunge sasa na uwe miongoni mwa mabingwa!!
Sania+mapua
Sven yupo vizur