Kocha wa Simba Sven Vandenbroeck amesema, vyombo vya habari, mashabiki, watu wa ndani na nje ya klabu waache kuwakosoa wachezaji kwa sababu wanajitoa kwa 100% kwa ajili ya klabu na badala yake lawama zote zielekezwe kwake.

“Tangu tukiwa Nigeria, kuna wachezaji walikuwa wagonjwa! Hakukuwa na mchezaji hata mmoja ambaye alikuwa salama katika kipindi cha wiki tatu zilizopita.”

“Haijalishi wakiwa wagonjwa au wakiwa na afya, wamejitoa kwa kila kitu kupigania klabu pamoja na jezi yake.”

Sven, Sven: Ongeeni Kuhusu Shati Langu na Sio Wachezaji, Meridianbet
Wachezaji wa Simba SC

“Sasa naomba VYOMBO VYA HABARI, MASHABIKI, WATU WA NDANI NA NJE YA KLABU kuacha kukosoa kwa sababu hawa vijana wanajitoa kwa kila kitu kwa ajili ya klabu.”

“Badala ya kukosoa wachezaji wangu, zungumzeni kuhusu mimi, kuhusu kupanga mshambuliaji mmoja au washambuliaji wawili. Tukishinda 3-0 au 1-0, zungumzeni kuhusu rangi ya shati langu, kama natakiwa kwenda saloon kukata nywele au vinginevyo.”

“Zungumzeni vitu vingine lakini waacheni wachezaji wangu kwa sababu kila siku wanajitoa kwa asilimia 100 kwa ajili ya hii klabu, asanteni.”


VUNA SHEA YAKO YA 230,000,000TSH NA UFURAHIE MSIMU HUU WA SIKUKUU!!!

Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, jiwekee nafasi ya kupata shea yako ya 230,000,000Tsh kupitia mchezo wa Secret Santa. Hakika hutojutia kufurahia msimu huu wa sikukuu ukiwa katika nyumba ya mabingwa ya Meridiabet. Unasubiri nini???

Sven, Sven: Ongeeni Kuhusu Shati Langu na Sio Wachezaji, Meridianbet

SOMA ZAIDI

13 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa