TAIFA STARS NI KUFA AU KUPONA LEO

Kipa wa timu ya Taifa Stars, Aishi Manula ameweka wazi kuwa wana mchezo mgumu dhidi ya Guinea lakini lengo mama ni kuhakikisha wanfuzu AFCON 2025 kwa kuwa watakuwa nyumbani

TAIFA STARS NI KUFA AU KUPONA LEO

Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Novemba 19 2024 saa 10:00 jioni na tayari timu ipo Bongo kwa maandalizi ya mwisho baada ya kutoka kupata ushindi dhidi ya Ethiopia waliposhinda kwa mabao 2-0 na kupata zawadi milioni 10 ya goli la mama.

Pia meridianbet inatoa michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, poker, Roullette, sloti na mingine kibao. Ingia meridianbet na ucheze sasa.

Manula amesema: “Tunamshukuru Mungu kwa yote pili kabla ya yote ningependa kutoa pole kwa janga kubwa ambalo limetuuta kama taifa kuweza kuwapoteza wapendwa wetu kwenye ajali ya jengo nadhani kama Watanzania tupo kwenye majozi na tunamshukuru Mungu kwa kuwa yeye anatoa na kutwaa.

TAIFA STARS NI KUFA AU KUPONA LEO

“Kiujumla wachezaji tumejiandaa vizuri kwa kuwa tutakuwa kwenye mchezo wa uwanja wa nyumbani tumejiandaa vizuri na tunahitaji ufanya vizuri kutimiza malengo ya kufuzu na tulikuwa na mwendo wa kusuasua kwenye mechi hivi karibuni lakini tumekuwa na mwendo mzuri na kumekuwa na mabadiliko makubwa.

“Hautakuwa mchezo wa mpira wa miguu bali itakuwa ni vita dhidi ya wapinzani ambao watakuja Tazania na tutapambana kuhakikisha kwamba tunapata matokeo mazuri na lengo ni kuona kwamba tunafuzu AFCON 2025.

Acha ujumbe