Baada ya hapo jana Klabu ya ASC Jaraaf ya Senegal kutolewa kwenye mashindano ya kombe la shirikisho sasa imebaki na pointi 15 huku Tanzania ikibaki na Point 27.5.

Ni rasmi sasa Tanzania itapeleka timu NNE msimu ujao kwenye mashindano ya kimataifa ya CAF (2 klabu bingwa, 2 shirikisho), hii ni baada ya kuwa na point 27.5 ambazo haziwezi kufikiwa na nchi inayofuata kwa nyuma.

Timu mbili za Tanzania (Nafasi ya Kwanza na Pili) zitacheza katika ligi ya mabingwa barani Afrika wakati (Nafasi ya Tatu na Nne) zitacheza katika kombe la shirikisho huku ikitegemea mshindi wa kombe la Azam Federation Cup FA.

Tanzania iliwahi kupata nafasi hiyo mwaka mwaka 2018/19 baada ya klabu Simba SC kutinga hatua ya robo fainali lakini walipoteza baada ya timu zote kutolewa katika hatua ya makundi.


BONASI YA 50% KILA SIKU KATIKA KASINO ZA EVOPLAY HAPA MERIDIANBET.

Meridianbet na Evoplay Kasino wanakupa bonasi ya 50% ya kiasi utakachoweka katika akaunti yako leo. Unasubiri nini ni wakati wa kupiga pesa sasa na Mabingwa.

tuchel, Tuchel :Tuna Bahati Tottenham Wametusaidia Kazi., Meridianbet

SOMA ZAIDI

2 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa