Tanzania Prisons Uso kwa Uso Dhidi ya Mashujaa

Pale Mbeya leo hii kutakuwa na mtanange wa maana kabisa ambapo Tanzania Prisons watakuwa wenyeji wa Mashujaa ya Kigoma ambapo mchezo huo utapigwa pale Sokoine.

Tanzania Prisons Uso kwa Uso Dhidi ya Mashujaa

Tanzania Prisons wapo kwenye hali mbaya kwenye msimamo wa ligi yaani nafasi ambayo itawafanya wacheze Play oof ambapo ligi ikimalizika kama wataendelea kuwepo nafasi hiyo, huku Mashujaa wo wapo nafasi ya 7 kwenye msimamo wa ligi nafasi ambayo ni salama sana kwasasa.

Pia meridianbet inatoa michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, poker, Roullette, sloti na mingine kibao. Ingia meridianbet na ucheze sasa.

Prisons kwenye mechi zao ambazo wamecheza mpaka sasa wameambulia ushindi mara 3, sare 5 na wamepoteza mara 8, huku wageni wao wakiwa wameshinda mechi 4, sare 7 na kupoteza mara 5 hadi sasa wakiambulia pointi 19 kwenye msimamo wa ligi. Yoyote atakayeshinda atapanda nafasi moja juu kwenye msimamo.

Tanzania Prisons Uso kwa Uso Dhidi ya Mashujaa

Unaweza ukabashiri mechi hii ndani ya Meridianbet ambapo nafasi ya kushinda akipewa mgeni kwa ODDS 1.89 kwa 4.40. Je beti yako wewe unampa nani akupe pointi 3 za ushindi leo?.

Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.