Meneja mpya wa Manchester United, Erik ten Hag anataka kumsajili kiungo wa Chelsea, N’Golo Kante ili aanze kuijenga Old Traford mpya.

Kante, 31 ambaye ni mshindi wa Kombe la Dunia amebakisha mwaka mmoja kwenye mkataba wake Stamford Bridge na Ten Hag anaamini kuwa kiungo huyo wa Chelsea bado ana uwezo, uzoefu na njaa ya kuwasaidia nyota wake wachanga msimu ujao.

 

Ten Hag, Ten Hag Anamtaka Kante Old Trafford., Meridianbet

Kante alijiunga na Chelsea mwaka 2016 kwa kitita cha pauni milioni 32 akitokea Leicester wiki kadhaa baada ya kushinda taji la Premier League.

Meneja Ten Hag anamwona Kante kuwa anafaa na anauzoefu wa kuisaidia United msimu ujao na anaitaka bodi ya United kukamilisha mpango huo.

Kante amebakiza mwaka mmoja tu kwenye mkataba wake na inaweza kuwa nafasi ya mwisho kwa Chelsea kurejesha pesa. Hakuna dau liliotajwa katika ripoti lakini haitakuwa kubwa ukuzingatia hali ya mkataba wake.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa