Tennis

Novak Djokovic

Novak Djokovic Na Wiki Ya Ubingwa.

2
Mashindano ya French Open 2021 yamemalizika rasmi baada ya mchezo wa Novak Djokovic vs Stefano Tsitsipas kwenye fainali. Licha ya kuanza mchezo kwa kupoteza seti 2 za mwanzo, Djokovic alirejea uwanjani na kupindua meza. Hakika ameonesha ubora wake kama mchezaji...
French Open 2021

French Open 2021 Ni Djokovic vs Tsistipas

1
Hatimaye mashindano ya French Open 2021 kufikia tamati wikiendi hii. Upande wa wanaume, Novak Djokovic atachuana na Stefano Tsitsipas kwenye fainali. Djokovic alikuwa uwanjani kuchuana na mpinzani wake wa muda wote, Rafael  Nadal kwenye mchezo wa nusu fainali. Licha ya...
French Open 2021

French Open 2021, Nadal vs Djokovic X57.

1
Utamu wa mashindano ya French Open 2021 upande wa wanaume, sasa ndio unaanza. Huku Rafael Nadal vs Novak Djokovic, kule Stefano Tsitsipas vs Alexander Zverev. Baada ya kupita kwenye kila hatua tangu kuanza kwa mashindano ya Roland Garros 2021, sasa...
French Open 2021

French Open 2021, Krejcikova vs Pavlyuchenkova

1
Hayawi hayawi sasa yamekuwa, fainali ya mashindano ya French Open 2021 kuwakutanisha wachezaji wawili ambao pengine hawakupewa nafasi ya ushindi mwaka huu. Barbora Krejcikova uso kwa uso na Anastasia Pavlyuchenkova. Krejcikova anatinga hatua ya fainali kwa mara ya kwanza kwenye...
Coco Gauff

Coco Gauff Atolewa Kwenye Roland Garros

1
Mambo yamemuendelea vibaya Coco Gauff (miaka 17) kwenye mchezo wa robo fainali ya Roland Garros. Atolewa nje kishujaa. Gauff alikuwa uwanjani akichuana na Barbora Krejcikova katika mchezo wa robo fainali ya French Open. Baada ya piga nikupige ya muda mrefu,...
Tsitsipas

Tsitsipas Atinga Nusu Fainali Ya 3 Mfululizo.

0
Mambo yanazidi kupamba moto kunako mashindano ya French Open 2021. Stefanos Tsitsipas anaendelea kuonesha ubora wake kwenye uwanja wa tope. Tsitsipas alikuwa uwanjani akichuana na Daniil Medvedev katika mchezo wa robo fainali. Matokeo ya seti 6-3 7-6 (7-3) 7-5, yalimtosha...

Novak Djokovic Aponea Kwenye Tundu La Sindano.

1
Kunako muendelezo wa Roland Garros, almanusura Novak Djokovic ayaage mashindano mbele ya kijana wa miaka 19 raia wa Italia. Djokovic alijitutumua kupindua matokeo yaliyomnusuru asiyaage mashindano ya French Open katika mzunguko wa 4 akichuana na Lorenzo Musetti. Mchezaji namba 1...
Laguna Larga

Laguna Larga Imenilea na Kunikomaza Paulo Dybala

1
Laguna Larga ndio sehemu ambako Mwamba Dyabala amezaliwa na kukulia na mara kwa mara tunakutana na nyakati ngumu katika maisha, wala hatupaswi kuzikimbia bali kuzikabili na kuzishinda. Hii sio kwenye mpira pekee bali kwenye maisha yetu kiujumla. Vitu vibaya...
Serena

Serena Williams Atolewa Roland Garros 2021

1
Katika hali isiyo ya kawaida au pengine mashabiki wengi hawakutegemea, Serena Williams atolewa kwenye mashindano ya French Open 2021. Williams alikuwa akichuana na Elena Rybakina katika mchezo wa mzunguko wa 4 kunako mashindano ya Roland Garros. Matokeo ya seti 6-3 7-5...
Naomi Osaka

Naomi Osaka Ajiondoa French Open 2021

3
Mwanadada mcheza tennis namba mbili kwa ubora duniani Naomi Osaka amefikia hatua ya kujiondoa kwenye mashindano ya French Open kwa madai ya kuwa vyombo vya habari vinamuharibu kiakili. Wiki moja iliyopita,  Naomi Osaka alitangaza kujiondoa kwenye masuala yote ya habari...

MOST COMMENTED

Ziyech Akiwasha EPL.

26
Hakim Ziyech ameendeleza ubora wake katika Ligi kuu ya Uingereza-EPL dhidi ya Sheffield United, ambapo ameisaidia Chelsea kuibuka na ushindi mnono wa 4-0. Kiungo huyo...
Klopp Amkanyaga Pep!

Klopp Amkanyaga Pep!

HOT NEWS