Belinda Bencic alisimama kidete kufika robo fainali ya Abu Dhabi Open huku wenzake ambao ni vipenzi vya watu Anett Kontaveit na Jelena Ostapenko wakielekea nyumbani. Bencic alitinga hatua yake …
Makala nyingine
Bingwa mara nne wa Grand Slam Naomi Osaka ametangaza kuwa ni mjamzito na hatarajii kucheza tenisi tena hadi mwaka ujao. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 25 hajacheza tangu …
Taylor Fritz amejinyakulia ushindi huo huku Marekani ikiibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Italia katika fainali ya Kombe la United. Jessica Pegula na Frances Tiafoe walifungua njia …
Bingwa mara nne Naomi Osaka amejiondoa kwenye mashindano ya Australian Open 2023. Mjapani huyo mwenye umri wa miaka 25 ni mshindi mara mbili wa Australian Open (2019 na 2021), …
Wakiweka maiki zao za maoni na kubadilishana studio za runinga kwa ajili ya mahakama za mchezo wa Padeli, baadhi ya wanasoka mashuhuri zaidi wamewahi kukutana ana kwa ana katika mashindano …
Inaonekana Malkia wa Tenisi bado hayuko tayari kuachia kiti chake cha enzi. Katika mkutano huko Silicon Valley wiki hii, Serena Williams alitania kurejea kwenye tenisi ya ushindani, akifanya hivyo kwa …
Nguli wa mchezo wa tenesi duniani Roger Federer ambae ametangaza kustaafu mchezo huo siku kadhaa nyuma inaelezwa atacheza mchezo wake wa mwisho ijumaa hii. Nyota huyo anatarajiwa kucheza kwenye mashindano …
TAJIRI Kijana na Mwekezaji wa klabu ya Simba SC, Mohammed Dewji amempongeza mwanamichezo nguli wa Tenisi Roger Federer baada ya kutangaza kustaafu mchezo huo. MO Dewji ameungana na wadau na …
Mchezaji nguli wa Tennis Roger Federer ametangaza kuachana na mchezo huo na kwamba mashindano ya ATP TOUR ya Laver Cup yatakuwa ya mwisho kwake na pia hatocheza mashindano yoyote makubwa …
Liverpool na Rangers wapo kundi moja Ligi ya Mabingwa ya Uingereza hatua ya makundi; Erling Haaland kuwakabiri tena waajiri wake wa zamani Borussia Dortmund; Chelsea kukutana na Milan, Salzburg na …
Mcheza tennis kutoka nchini Serbia Novak Djokovic ameshinda taji lake la saba la mashindandano ya Wimbledon ambayo yanafanyika nchini Uingereza kwa kumchapa mcheza tennis kutoka nchini Australia Nick Kyrgios. Djokovic …
Mcheza tennis anayeshika namba moja kwa ubora duniani Naomi Osaka hataweza kushiriki mashindano ya Wimbledon kutokana na majeraha aliyoyapata akiwa anashiriki michuano ya Madrid Open na sababu ya kutopanda kwa …
Wachezaji kutoka mataifa ya Urusi na Belarus hawataruhusiwa kushiriki na kucheza kwenye mashindano ya Wimbledon mwaka huu kutokana na uvamizi waliofanya kwenye nchi ya Ukraine. Miongoni mwa wachezaji maarufu ambao …
Ulimwengu michezo umeshtushwa na taarifa za mchezaji bora (kwa wanawake) duniani kwenye tenesi, Ashleigh Barty, kutangaza kustaafu mchezo huo. Barty anastaafu kucheza tenesi akiwa na umri wa miaka 25 pekee …
Novak Djokovic anatumaini kushiriki kwenye mashindano ya French Open baada ya serikali ya Ufaransa kuondoa vikwazo vya chanjo ya Uviko-19 baada ya mwezi huu kupitisha sheria ya kutoruhusu mtu yeyeto …
Mcheza tennis nambamoja kwa ubora duniani Daniil Medvedev ameshndwa kulipa Kisasi kwa Rafael Nadal baada ya kupoteza tena kwa mfululizo wa set 6-3, 6-3 siku ya ijumaa kwenye mchezo wa …
Mcheza tennis namba 87 kwa ubora duniani Andy Murray ameondolewa kwenye mashindano ya Qatar ExxonMobil Open baada ya kupoteza kwa mfululizo wa set kwenye hatua ya 16 bora. Andy Murray …