Ashleigh: Tenesi au Gofu Kote Sawa.

Mchezaji wa tenesi mwanamke namba 1 kwa ubora duniani – Ashleigh Barty, ameibuka tena kwenye ulimwengu wa michezo, safari hii ni kwenye mchezo wa gofu.

Japokuwa hatokuwepo uwanjani kutetea taji lake la French Open mwezi ujao, Ashleigh anaendelea kubeba mataji kwenye michezo mingine kutokana na uwezo wake wa kucheza michezo mbalimbali.

Ashleigh Barty baada ya kutwaa taji la French Open 2019

Aliwahi kucheza mchezo wa kriketi ambao ni mchezo anaoucheza mchumba wake. Safari hii amebeba taji la Women’s Championship mchezo uliochezwa Brookwater Golf Club.

Barty ambaye ni baba wa mwanadada huyu, aliwahi kuwa mchezaji wa gofu na sasa mwanae amebeba taji la mchezo huo kwa ushindi wa 7 na 5 kwenye mchezo wa fainali.

Ashleigh Barty akishiki mashindano ya Women’s Championship

“Anasifa zote kama akiamua kuzitumia kwenye mchezo huu. Nimeshuhudia wachezaji wengi wa gofu wakitoka kwenye michezo mingine, lakini Barty ni bora kuliko wengi wao. Anauwezo mkubwa wa kupiga mipira, nadhani kiuhalisia anapata faida ya kuwa mchezaji wa tenisi.” amesema mshindi upande wa wanaume – Louis Dobbelaar.


FURAHIA KASINO YA MTANDAONI

Tembelea ardhi ya maajabu ushangazwe na mengi ikiwa ni pamoja na urahisi wa kujipatia utajiri kupitia Kasino ya Meridianbet.

Cheza Sasa

20 Komentara

    Uwezo wake wa kucheza michezo yake mwanadada Barty kumemfanya ajulikane sana kukiwa kuna mashindano ya gofu sawa au tenis

    Jibu

    binti mrembo alopata umaarufu kwa haraka zaidi kupitia michezo yake miwili

    Jibu

    Ni moja ya sifa nzuri kwa kipaji alichonacho. Kimemfanya ajulikane dunia nzima. Pongezi kwake mdada

    Jibu

    Pongezi umepata umaaruf mkubwa kwa kupitia uwo mchezo

    Jibu

    Yupo vizuri na michezo yote anaiweza ndomana nimalufu mwadada Barty yupo vizuri anapambana kwenye michezo yote gofu yupo tenis yupo ndomana marufu Sana na nimpambaji Sana yeye kokote usalia kukupiga

    Jibu

    Hii imekua habati kubwa kwake Ashleigh

    Jibu

    Uwezo mkunwa sana ndio uzuri wa Multi-talent kwa wenzetu unapiga tuu mkwanja mbali na kuwa maarufu

    Jibu

    Ashleigh amepata umaarufu wake wa haraka kupitia michezo yake miwili

    Jibu

    hongera sana

    Jibu

    Vipaji adimu kumudu michezo yote namna hiyo#meridianbettz

    Jibu

    Amebarikiwa Kwa kwer

    Jibu

    Daa mrembo ana vipaji na vyote anavitendea haki yuko vizuri

    Jibu

    Barty ni mchezaji Bora kuliko wengine wote

    Jibu

    Hongera

    Jibu

    Ashleigh yupo vizuri

    Jibu

    Safii umetisha mdada!!!

    Jibu

    Pongezi kwake mdada

    Jibu

    Mdada yupo vizuri sana

    Jibu

    HOngera

    Jibu

    Uwezo mkunwa sana ndio uzuri wa Multi-talent kwa wenzetu unapiga tuu mkwanja mbali na kuwa maarufu

    Jibu

Acha ujumbe