ATP

HABARI ZAIDI

Medvedev Ashindwa Kulipa Kisasi kwa Nadal

0
Mcheza tennis nambamoja kwa ubora duniani Daniil Medvedev ameshndwa kulipa Kisasi kwa Rafael Nadal baada ya kupoteza tena kwa mfululizo wa set  6-3, 6-3...

Andy Murray Aondolewa Kwenye Mashindano ya Qatar Open

0
Mcheza tennis namba 87 kwa ubora duniani Andy Murray ameondolewa kwenye mashindano ya Qatar ExxonMobil Open baada ya kupoteza kwa mfululizo wa set kwenye...

Serbia: Novak Djokovic Vipimo vya Uviko-19 Vilikuwa Halali

0
Mwendesha mashitaka wa nchini Serbia amesisitiza kuwa vipimo vya mchezaji tennis namba moja duniani Novak Djokovic vilikuwa halali, hakukuwa na udanganyifu wowote uliofanyika. Mshindi huyo...

Rafael Nadal Bingwa wa Australian Open 2022

0
Rafael Nadal anasimama mbele ya malejendari wa mchezo wa tennis baada ya kumshinda Daniil Medvedev kwenye fainali ya Australian Open na kuweka rekodi ya...

Nadal na Mawazo ya Kuvunja Record Australian Open

0
Rafael Nadal kwa anafikilia zaidi kushinda taji la Australian Open ili aweze kuwa mchezaji namba moja mwenye Grand slam 21 na kuwapita Novak Djokovic...

Ashleigh Barty Avunja Historia Ya Miaka 42.

0
Kwa mara ya kwanza baada ya miaka 42, Ashleigh Barty anakua raia wa kwanza wa Australia kufika hatua ya fainali ya mashindano ya Australian...

Nadal Atua Nusu Fainali Australian Open

0
Mashindano ya Australian Open 2022 yanaendelea kunoga, hatua ya nusu fainali hiyo kurindima. Rafael Nadal, ndani ya nyumba. Licha ya kuhitajika kuvishinda vikwazo vingi uwanjani,...

Medvedev Afuzu 16 Bora Australian Open.

0
Mchezaji namba 2 kwa ubora duniani (wanaume), Daniil Medvedev, amefuzu hatua ya 16 bora kunako mashindano ya Australian Open. Medvedev alikua uwanjani akichuana na Botic...

Australian Open: Naomi Osaka Avuliwa Ubingwa.

0
Bingwa mtetezi wa Australian Open (wanawake), Naomi Osaka, amevuliwa rasmi ubingwa baada ya kupoteza mchezo wa hatua ya tatu ya mashindano ya mwaka huu. Osaka...

Andy Murray Atolewa Australian Open 2022.

0
Amahakika, ng'ombe wa masikini hazai. Licha ya kuwa nje ya uwanja kwa muda kutokana na majeruhi, kurejea kwa Andy Murray kumeishia mzunguko wa pili...