Australian Open: Hujachanja, HUCHEZI.

Miezi ya hivi karibuni, kumekuwa na matamko ya kukinzana kuhusu washiriki wa mashindano ya Australian Open 2022. Uongozi husika, umetoa tamko.

Wapo waliosema wachezaji wataruhusiwa kucheza hata kama hawajachanja (chanjo ya Covid-19), wapo waliosema hilo halitatokea kwa mchezaji yeyote ambaye hajachanja. Matamko haya yalitolewa na baadhi ya viongozi wa serikali na wanasiasa nchini Australia.

Safari hii, Mkurugenzi wa mashindano ya Australian Open, Craig Tiley ameweka wazi utaratibu utakaotumika. Kwa mujibu wa Tiley, wachezaji wote watakaoshiriki, wanapaswa kuwa wamechanja. Tofauti na hapo, hawatoruhusiwa kushiriki mashindano hayo.

Pamoja na kuchanja, Tiley ameongeza kuwa, mashindano hayo yatahudhuriwa na mashabiki wachache kulingana na idadi itakayoelekezwa kwa kila kiwanja husika.

Mashindano haya yataanza kuchezwa Januari 17-30, 2022.


WIKI NJEMA NA CRAZY TIME CASINO!

Unasababu milioni za kucheza unavyotaka ukiwa na mabingwa meridianbet, lakini unasababu moja ya kushinda mamilioni katika kasino za mtandaoni za meridianbet. Mchezo maridhawa wa Crazy Time unakupa sababu hizo kuwa mmoja wa washindi leo hii.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe