Australian Open: Medvedev Afuzu Hatua Ya 2

Jiji la Melbourne, Australia, linaendelea kuburudika na mashindano ya Australian Open yanayoendelea nchini humo.

Baadhi ya mastaa wanaendelea kufanya vizuri viwanjani. Daniil Medvedev amefanikiwa kutinga hatua ya pili ya michuano hiyo.

Medvedev ambaye ni bingwa mtetezi wa US Open, alikuwa uwanjani kuchuana na Henri Laaksonen ambaye alimshinda kwa seti 6-1 6-4 7-3 (7-3).

Iga Swiatek

Upande wa pili kunako Australian Open, Iga Swiatek alikutana na upinzani mkali kutoka kwa Harriet Dart. Swiatek alijikuta akiongozwa kwa 2-1 kwenye seti ya kwanza kabla ya kupindua meza na kushinda mchezo kwa seti 6-3 6-0 ikiwa ni ushindi wa 5 mfululizo.


JIACHIE NA ALMIGHTY AZTEC

Ni muda wako kujiachia na mchezo maridhawa wa Almighty Aztec katika kasino bomba za meridianbettz. Nafasi ya kutengeneza mkwanja iko mikononi mwako kazi ni kwako.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe