NyumbaniTennisAustralian Open

Australian Open

HABARI ZAIDI

Roger Federer Atangaza Kustaafu

0
Mchezaji nguli wa Tennis Roger Federer ametangaza kuachana na mchezo huo na kwamba mashindano ya ATP TOUR ya Laver Cup yatakuwa ya mwisho kwake...

Novak Djokovic Kushiriki French Open na Monte-Carlo Masters

0
Novak Djokovic anatumaini kushiriki kwenye mashindano ya French Open baada ya serikali ya Ufaransa kuondoa vikwazo vya chanjo ya Uviko-19 baada ya mwezi huu...

Medvedev Ashindwa Kulipa Kisasi kwa Nadal

0
Mcheza tennis nambamoja kwa ubora duniani Daniil Medvedev ameshndwa kulipa Kisasi kwa Rafael Nadal baada ya kupoteza tena kwa mfululizo wa set  6-3, 6-3...

Rafael Nadal: Asababisha Makamu wa Rais wa Barcelona Kujiuzuru

0
Ushindi wa Rafael Nadal kwenye michuano ya Australian Open haukumfurahisha makamu raisi wa klabu ya Barcelona na kuamua kuelezea hisia yake kwenye mitandao ya...

Serbia: Novak Djokovic Vipimo vya Uviko-19 Vilikuwa Halali

0
Mwendesha mashitaka wa nchini Serbia amesisitiza kuwa vipimo vya mchezaji tennis namba moja duniani Novak Djokovic vilikuwa halali, hakukuwa na udanganyifu wowote uliofanyika. Mshindi huyo...

Pesa Inayotolewa Kwenye Michuano ya Australian Open

0
Ushindi wa kushangaza wa Rafa Nadal wa fainali ya Australian Open 2022 dhidi ya Daniil Medvedev siku ya Jumapili ulimfanya kitakwimu kuwa mchezaji bora...

Rafael Nadal Bingwa wa Australian Open 2022

0
Rafael Nadal anasimama mbele ya malejendari wa mchezo wa tennis baada ya kumshinda Daniil Medvedev kwenye fainali ya Australian Open na kuweka rekodi ya...

Ashleigh Barty Bingwa Australian Open 2022

0
Yametimia, baada ya miaka 44, Ashleigh Barty anakuwa raia wa kwanza wa Australia kutwaa ubingwa wa Australian Open. Barty ameibuka kidedea baada ya kumfunga Danielle...

Australia: Shauku Ya Fainali Inapamba Moto!

0
Ni wikiendi ya burudani iliyotawaliwa na hisia kwa wananchi wa Australia wakati wanatazamia kuchezwa kwa fainali za Australian Open 2022. Baada ya miaka 42, raia...

Nadal na Mawazo ya Kuvunja Record Australian Open

0
Rafael Nadal kwa anafikilia zaidi kushinda taji la Australian Open ili aweze kuwa mchezaji namba moja mwenye Grand slam 21 na kuwapita Novak Djokovic...