Mambo yamemuendelea vibaya Coco Gauff (miaka 17) kwenye mchezo wa robo fainali ya Roland Garros. Atolewa nje kishujaa.

Gauff alikuwa uwanjani akichuana na Barbora Krejcikova katika mchezo wa robo fainali ya French Open. Baada ya piga nikupige ya muda mrefu, matokeo ya seti 7-6 (8-6) 6-3 yalimtosha Krejcikova kupata ushindi wa 6 kwenye mashindano haya.

Coco Gauff, Coco Gauff Atolewa Kwenye Roland Garros, Meridianbet
Barbora Krejcikova akishangilia ushindi dhidi ya Gauff.

Ushindi wa Krejcikova umekuwa ni huzuni kwa Coco Gauff ambaye sasa ni rasmi, safari yake ya French Open imeishia hapo.

Upande wa pili, Iga Swiatek atachuana na Maria Sakkari kwenye mchezo mwingine wa robo fainali ya Rolland Garros. Mshindi wa mchezo huu, atachuana na Krejcikova katika mchezo wa nusu fainali ya mashindano ya mwaka huu.


WEKA PESA KUPITIA DUKANI MERIDIANBET!

Chukua namba yako ya akaunti na kiasi cha pesa unachotaka kuweka, sogea kwenye duka lolote la Meridianbet lililo karibu nawe utasaidiwa kuweka pesa.

Weka Pesa Meridianbet

WEKA PESA

ONI MOJA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa