Novak Djokovic anatumaini kushiriki kwenye mashindano ya French Open baada ya serikali ya Ufaransa kuondoa vikwazo vya chanjo ya Uviko-19 baada ya mwezi huu kupitisha sheria ya kutoruhusu mtu yeyeto …
Makala nyingine
Mashindano ya French Open 2021 yamemalizika rasmi baada ya mchezo wa Novak Djokovic vs Stefano Tsitsipas kwenye fainali. Licha ya kuanza mchezo kwa kupoteza seti 2 za mwanzo, Djokovic alirejea …
Hatimaye mashindano ya French Open 2021 kufikia tamati wikiendi hii. Upande wa wanaume, Novak Djokovic atachuana na Stefano Tsitsipas kwenye fainali. Djokovic alikuwa uwanjani kuchuana na mpinzani wake wa muda …
Utamu wa mashindano ya French Open 2021 upande wa wanaume, sasa ndio unaanza. Huku Rafael Nadal vs Novak Djokovic, kule Stefano Tsitsipas vs Alexander Zverev. Baada ya kupita kwenye kila …
Hayawi hayawi sasa yamekuwa, fainali ya mashindano ya French Open 2021 kuwakutanisha wachezaji wawili ambao pengine hawakupewa nafasi ya ushindi mwaka huu. Barbora Krejcikova uso kwa uso na Anastasia Pavlyuchenkova. …
Mambo yamemuendelea vibaya Coco Gauff (miaka 17) kwenye mchezo wa robo fainali ya Roland Garros. Atolewa nje kishujaa. Gauff alikuwa uwanjani akichuana na Barbora Krejcikova katika mchezo wa robo fainali …
Mambo yanazidi kupamba moto kunako mashindano ya French Open 2021. Stefanos Tsitsipas anaendelea kuonesha ubora wake kwenye uwanja wa tope. Tsitsipas alikuwa uwanjani akichuana na Daniil Medvedev katika mchezo wa …
Kunako muendelezo wa Roland Garros, almanusura Novak Djokovic ayaage mashindano mbele ya kijana wa miaka 19 raia wa Italia. Djokovic alijitutumua kupindua matokeo yaliyomnusuru asiyaage mashindano ya French Open katika …
Katika hali isiyo ya kawaida au pengine mashabiki wengi hawakutegemea, Serena Williams atolewa kwenye mashindano ya French Open 2021. Williams alikuwa akichuana na Elena Rybakina katika mchezo wa mzunguko wa …
Mwanadada mcheza tennis namba mbili kwa ubora duniani Naomi Osaka amefikia hatua ya kujiondoa kwenye mashindano ya French Open kwa madai ya kuwa vyombo vya habari vinamuharibu kiakili. Wiki moja …
Nyota wa tenisi, Naomi Osaka hatarajii kusikiliza maswali ya aina yeyote kutoka kwa vyombo vya habari katika michuano ya French Open. Osaka anasisitiza kuwa asili ya mikutano na vyombo vya …
Kuelekea mashindano ya French Open 2021, mchezaji namba 3 kwa ubora duniani (kwa wanawake) kunako mchezo wa tenesi – Simona Halep, amejiweka kando kwa sasa. Halep anakaa pembeni kutokana na …
Bado matokeo yanaendelea kwenye kinyume na uwezo wa Serena Williams kuelekea mashindano ya French Open. Baada ya kutolewa mapema kwenye mashindano ya Italian Open, Williams alikubali kupewa kadi maalumu ya …
Baada ya kukaa nje ya uwanja toka mwezi Machi, aliyewahi kuwa mchezaji namba moja (kwa wanaume) duniani, Andy Murray anatarajia kuanza kujifua wikiendi hii. Murray atasafiri kuelekea Rome-Italia ambapo anatarajia …
Mchezaji namba 1 kwa ubora duniani (mchezo wa tenesi kwa wanaume), Novak Djokovic, hatotetea ubingwa wake wa Madrid Open baada ya kujitoa kwenye mashindano ya mwaka huu. Djokovic ameomba radhi …
Hali sio shwari nchini Ufaransa kufuatia ongezeko la visa vya COVID-19. Mashindano ya French Open 2021, hatarini kughairishwa. Taarifa hii inatokana na tamko la waziri wa Michezo wa Ufaransa, Roxana …
Mino Raiola limekua ni jina lililoshika kasi kwa wiki za karibuni husan kwenye vichwa vya habari za michezo vya Ulaya, Jina lake inawezekana likawa kubwa kuliko kufahamika kwake, ndio inawezekana …