Bado matokeo yanaendelea kwenye kinyume na uwezo wa Serena Williams kuelekea mashindano ya French Open. Baada ya kutolewa mapema kwenye mashindano ya Italian Open, Williams alikubali kupewa kadi maalumu ya …
Makala nyingine
Katika muendelezo wa mashindano ya Italian Open 2021, Rafael Nadal na Novak Djokovic wametinga hatua ya robo fainali baada ya kufanikiwa kupindua matokeo. Nadal alikuwa uwanjani akichuana na Denis Shapovalov. …
Katika hali ambayo haikutegemewa na wengi, Serena Williams, Naomi Osaka na Simona Halep wote wameyaaga mashindano ya Italian Open 2021. Williams alirejea uwanjani kwa mara ya kwanza tangu mwezi Februari …
Baada ya kukaa nje ya uwanja toka mwezi Machi, aliyewahi kuwa mchezaji namba moja (kwa wanaume) duniani, Andy Murray anatarajia kuanza kujifua wikiendi hii. Murray atasafiri kuelekea Rome-Italia ambapo anatarajia …
Mino Raiola limekua ni jina lililoshika kasi kwa wiki za karibuni husan kwenye vichwa vya habari za michezo vya Ulaya, Jina lake inawezekana likawa kubwa kuliko kufahamika kwake, ndio inawezekana …