Kwa mara ya kwanza, Rafael Nadal anapoteza mchezo kwenye uwanja wa tope baada ya kuambulia kipigo kutoka kwa Rafael Zverev kunako Madrid Open 2021.

Zverev alikuwa akichuana na Nadal katika hatua ya robo fainali ya mashindano hayo. Licha ya Zverev kupoteza seti ya kwanza kwa matokeo ya 4-2, alifanikiwa kumuondoa bingwa mara 5 wa Madrid Open kwa seti 6-4 6-4.

“Huu ni ushindi wangu mkubwa katika maisha yangu ya kucheza mchezo huu, hasa kwa kumfunga Nadal kwenye uwanja wa tope. Ni kitu kigumu sana kwetu, kumfunga akiwa nyumbani, ni motisha lakini mashindano bado hayajaisha.” alisema Zverev.

Upande wa pili, Domic Thiem alikuwa akichuana na John Isner. Matokeo ya seti 3-6 6-3 6-4 yalimtosha Thiem kufuzu hatua ya nusu fainali ambapo itakuwa ni marudio ya US Open 2020. Thiem vs Zverev, hapatoshi!!


TENGENEZA FAIDA KUPITIA MCHEZO WA TITAN DICE UKIWA NA MERIDIANBET KASINO

Unapokuwa kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, huna sababu ya kucheza kwa mashaka. Titan Dice, ni mchezo unaweza kukupatia mamilioni kwa mzunguko mmoja!

Madrid Open, Madrid Open: Zverev Amtoa Rafael Nadal., Meridianbet

SOMA ZAIDI

3 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa