Bingwa namba 1 kwa ubora duniani (kwa wanawake), Ashleigh Barty, amefuzu hatua ya fainali kunako mashindano ya Madrid Open 2021. Barty amefanikiwa kutua hatua ya fainali baada ya kumfunga Paula …
Makala nyingine
Mchezaji namba 1 kwa ubora duniani (mchezo wa tenesi kwa wanaume), Novak Djokovic, hatotetea ubingwa wake wa Madrid Open baada ya kujitoa kwenye mashindano ya mwaka huu. Djokovic ameomba radhi …